Kutongoza kwa kutumia wallets

Kutongoza kwa kutumia wallets

Domo ZEGE alafu ANAMADEMU wengi. .
Eeeee. ..
Hiii CHAI ngumu KUMESA
Ndiyo mkuu,kwa kuwa ufahamu wako ni mdogo ngoja nikusaidie. Mademu akuwa nao wengi lkn huwapata kwa wallet,upo mkuu?
 
Unataka hela au unataka maneno ya kutongozwa?

Wanawake mbona hamueleweki, mnataka pesa au mnataka mbembelezwe na maneno matamu ya kutongozwa?

Sisi tusiotaka usumbufu wa maneno mengi tunaamua kuua mende kwa bunduki, no woman is strong against money,money talks.

Nina pesa tena niendelee kuongea, sasa pesa kazi yake nini? Tunaacha pesa iongee.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hii kali mwe!
 
Unataka hela au unataka maneno ya kutongozwa?

Wanawake mbona hamueleweki, mnataka pesa au mnataka mbembelezwe na maneno matamu ya kutongozwa?

Sisi tusiotaka usumbufu wa maneno mengi tunaamua kuua mende kwa bunduki, no woman is strong against money,money talks.

Nina pesa tena niendelee kuongea, sasa pesa kazi yake nini? Tunaacha pesa iongee.
Safi sana, hata mimi sipendi kuongea sana.
 
Wakuu habari za jioni?

Wakati tumebakiza masaa machache tumalize mwaka nimeona vyema nichambue wanaume wanaotongoza kwa kutumia fedha.

Mwanaume anayetongaza kwa kumia wallet yake ana matatizo yafuatayo;

1.Hajiamini
2.Domo zege na
3.limbukeni.
4.Ana mademu wengi.

Akiishiwa pesa hukimbiwa na kuachwa na stress kibao.
We Moniccca sasa ukafanyaje?,lakini uliskiaje? hebu uwe muwazi baby?
 
Back
Top Bottom