Kutongoza kwa kutumia wallets

moniccca

JF-Expert Member
Nov 15, 2015
2,383
3,285
Wakuu habari za jioni?

Wakati tumebakiza masaa machache tumalize mwaka nimeona vyema nichambue wanaume wanaotongoza kwa kutumia fedha.

Mwanaume anayetongaza kwa kumia wallet yake ana matatizo yafuatayo;

1.Hajiamini
2.Domo zege na
3.limbukeni.
4.Ana mademu wengi.

Akiishiwa pesa hukimbiwa na kuachwa na stress kibao.
 
Unataka hela au unataka maneno ya kutongozwa?

Wanawake mbona hamueleweki, mnataka pesa au mnataka mbembelezwe na maneno matamu ya kutongozwa?

Sisi tusiotaka usumbufu wa maneno mengi tunaamua kuua mende kwa bunduki, no woman is strong against money,money talks.

Nina pesa tena niendelee kuongea, sasa pesa kazi yake nini? Tunaacha pesa iongee.
 
Inamaana usipokuwa na pesa unalala doroo?
 
Back
Top Bottom