Kutokuwemo mashabiki hakuondoi uhalali wa mechi

DELETED ACCOUNT

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
9,805
Reaction score
15,470
Katika kanuni za TFF, CAF na hadi FIFA, hakuna kipengele kinachosema kuwa mechi inakamilika iwapo tu kutakuwa na mashabiki jukwaani.

Hizi nguvu mnazotumia kusema eti mechi isitangazwe, tiketi zisiuzwe, nk. hazina maana yoyote ile katika taratibu za mechi.

Kwanza mkumbuke tiketi za 08/03 bado zinatambulika na zitatumika tena 15/06 kwa hiyo zaidi ya 70% ya tiketi tayari zipo mikononi mwa wale waliokwisha nunua.

Hata ikitokea hatokei mtazamaji hata mmoja uwanjani, taratibu za mchezo zitafuatwa, Yanga asipotokea uwanjani, Simba itapewa pwenti zake 3 na goli 3 saaafi. Hii cleansheet tutampa Diarra ajalizie katika rekodi zake.

Bodi ya ligi haina ulazima wa kutoa HARAKA taarifa za Simba kupewa pwenti 3. Wanaweza kusubiri wiki nzima au hata wiki 2 au 3 kama ambavyo wamekuwa wanafanya kutoa taarifa za mwezi za ligi. Kwa hiyo msitumie chaka la baadae kusema eti Bodi inachelewa kutoa taarifa kwa makusudi.

Nyie mkishaona Simba imetokea uwanjani, taratibu zote za mchezo zimefuatwa, mwamuzi amesubiri muda unaotakiwa akamaliza mchezo mjue imeisha hiyo. Hapo hapo mchukue hizo hatua mnazotishia kuchukua na wala msisubiri.
 
Hakuna mbwa yeyeto wa kuikata Yanga points 15, wala kumpa 5imba point 3

Kampeni ya Yanga ni kusafisha pale TFF nyie mbumbumbu tutawafunga Kwa tarehe tutakayoamua sisi

Wala msiwe na haraka wala kiwewe, tutaondoa hiyo bodi ya ligi, nyie Simba tutawafunga tu tarehe nyingine
 
Na mimi nataka msinyang'anywe pwenti 15 zenu ili msipate chaka la kukimbilia Shirikisho kama ilivyo matamanio yenu. Bakini huku huku CAFCL ili tena muishie makundi.

Unataka ujipangie tarehe ya kucheza na Simba unadhani Singida hao?
 
Shirikisho hayo sio mashindano hadhi ya Yanga, 5imba ndo timu ya shirikisho

Nimekwambia usiwe na haraka wala kiherehere, kampeni Sasa ni kusafisha pale TFF nyie mbumbumbu tutawafunga Kwa tarehe tutakayoamua sisi
 
TFF na Bodi watakuwepo hadi ligi iishe. Mabadiliko yoyote ya uongozi yatafanyika baada ya ligi kutamatika na wala haitakuwa jambo la ajabu.
 
Hilo halipo hao tunawafukuza kwanza ndo tuje kuwafunga mara ya 5 mfululizo hao mbumbumbu wa Rage
Kama unadhani unaweza kubadili uongozi wa TFF au Bodi ya Ligi ndani ya hizi siku 9 zijazo, nina kiwanja changu cha sqm 3000 nauza kwa jero tu ila kipo ndani ya kambi ya jeshi.

Kama unadhani derby itapangiwa tarehe nyingine, nina fremu napangisha ipo ndani ya viwanja vya Ikulu.
 
Kama unadhani unaweza kubadili uongozi wa TFF au Bodi ya Ligi ndani ya hizi siku 9 zijazo, nina kiwanja changu cha sqm 3000 nauza kwa jero tu ila kipo ndani ya kambi ya jeshi.

Kama unadhani derby itapangiwa tarehe nyingine, nina framu napangisha ipo ndani ya viwanja vya Ikulu.
Nyie ndo mbumbumbu aliowasema Rage
Kwaiyo Kwa akili zako za mbumbumbu unaona Kuna mbwa yoyote wa kuikata Yanga points 15?

Yaani umesubiria tarehe 15 5imba apewe points za mezani 😂😅

Kusoma hujui hata picha huoni
 
Hakuna mtu mwenye shida ya pwenti 15 zenu, kaeni nazo. Labda muwaulize Azam ila nina uhakika nao hawana shida nazo pia.
 
Sasa wewe unalia nini?.
Umeanzisha Uzi takataka
Unalia unataka kufungwa na Yanga, nimekwambia kufungwa utafungwa Kwa tarehe ambayo Yanga ataamua.

Usiwe na haraka wala kiherehere,
 
Hakuna sehemu katika uzi huu nimeongelea kunyang'anywa pwenti 15 mlizojiokotea. Hiyo hoja umeileta wewe.

Yaani mnajiandaa kwenda tena CAS kwa hoja kuwa hamkuuza tiketi au kutangaza vituo vya kuuzia tiketi?
 
Ticket sio shida zetu
Tunaweza kuja kuwafunga 5imba hapo Bunju
 
Katika kanuni za TFF, CAF na hadi FIFA, hakuna kipengele kinachosema kuwa mechi inakamilika iwapo tu kutakuwa na mashabiki jukwaani.

Hizi nguvu mnazotumia kusema eti mechi isitangazwe, tiketi zisiuzwe, nk. hazina maana yoyote ile katika taratibu za mechi.

Kwanza mkumbuke tiketi za 08/03 bado zinatambulika na zitatumika tena 15/06 kwa hiyo zaidi ya 70% ya tiketi tayari zipo mikononi mwa wale waliokwisha nunua.

Hata ikitokea hatokei mtazamaji hata mmoja uwanjani, taratibu za mchezo zitafuatwa, Yanga asipotokea uwanjani, Simba itapewa pwenti zake 3 na goli 3 saaafi. Hii cleansheet tutampa Diarra ajalizie katika rekodi zake.

Bodi ya ligi haina ulazima wa kutoa HARAKA taarifa za Simba kupewa pwenti 3. Wanaweza kusubiri wiki nzima au hata wiki 2 au 3 kama ambavyo wamekuwa wanafanya kutoa taarifa za mwezi za ligi. Kwa hiyo msitumie chaka la baadae kusema eti Bodi inachelewa kutoa taarifa kwa makusudi.

Nyie mkishaona Simba imetokea uwanjani, taratibu zote za mchezo zimefuatwa, mwamuzi amesubiri muda unaotakiwa akamaliza mchezo mjue imeisha hiyo. Hapo hapo mchukue hizo hatua mnazotishia kuchukua na wala msisubiri.
Funguo za uwanja watapewa yanga siku moja kabla ya mchezo
 
Hakuna mbwa yeyeto wa kuikata Yanga points 15, wala kumpa 5imba point 3

Kampeni ya Yanga ni kusafisha pale TFF nyie mbumbumbu tutawafunga Kwa tarehe tutakayoamua sisi

Wala msiwe na haraka wala kiwewe, tutaondoa hiyo bodi ya ligi, nyie Simba tutawafunga tu tarehe nyingine
Umemaliza mkuu sisi hatuna wasiwasi na wao wenyewe wanajua vyema tu.
 
Kama mnatamani sana kucheza Bunju, subirini kuna wachezaji tunawaacha mwisho wa msimu waje wajiunge na kina Mkude na Chama. Mtakuwa kama mmecheza Bunju vile.
Hakuna mchezaji atatoka mashindano ya shirikisho yaani UMISETA mashindano ya akina mama ataweza kupata nafasi YANGA
 
Back
Top Bottom