Kutokana na yaliyotokea huko mji mkuu wa bongo, Ze Comedy show wamekuja na kali hii

shabani kanjibah

Senior Member
Jul 29, 2015
154
76
Zecomedy show Jumamosi hii na kila Jumamosi wamekuandalia mambo mazuri yatakayo kuacha ukiwa na Furaha tele moyoni mwako huku ukijisaulisha mambo mengi yanayotokea ndani nyumbani zetu serikali yetu.

Jumamosi saa 12:30 jion EATV pekeee

ae5b17aee5ad313d3d514edd357d998e.jpg
 
Hii ni moja ya comedy ya kitoto kabisa. Hawajui kichekesha wanadhan kuchekesha ni kufanya mambo ya kipumbavu au kitoto. Kiuhalisia the only person anayechekesha tanzania ni Joti. Hawa wakajipange sana. Kukunja kunja sura,midomo na kubadilisha saut siyo kwamba ndo comedy.
 
Zecomedy show Jumamosi hii na kila Jumamosi wamekuandalia mambo mazuri yatakayo kuacha ukiwa na Furaha tele moyoni mwako huku ukijisaulisha mambo mengi yanayotokea ndani nyumbani zetu serikali yetu.

Jumamosi saa 12:30 jion EATV pekeee

ae5b17aee5ad313d3d514edd357d998e.jpg
Naomba ubadiri kwanza hiyo rangi ya nguo yako, ni ombi kwenye avatar
 
Hawana jipya hawa. Kuna tofauti kubwa kati ya comedy na UPUUZI. Baada ya kina Masanja kutoka ilibidi kibuniwe kitu kingine pale. Sijui kipindi kinawafaa nini EATV hiki kipindi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom