mpemba mbishi
JF-Expert Member
- Nov 27, 2011
- 1,132
- 185
Haya wale waliosema CDM jimbo la uzini chali,semeni sasa...hakuna wa kuizui CDM kwasasa...shauri yenu.Hatujalala,Mtauwawa bure!!
Kwakuwa wanaoziweza ni zinafanywa na malaika
sasa huku ndo mtajua chaga development manifesto haipo'mtaendelea kudanganyana kwenye jamii forums lakini siku zinahesabika na mtaaibika
Hivi credibilty ya yule kiongozi wa cdm mwenye kuendesha night club ikoje
sasa huku ndo mtajua chaga development manifesto haipo'mtaendelea kudanganyana kwenye jamii forums lakini siku zinahesabika na mtaaibika
Hata mbuyu ulianza km mchicha....magwanda juu juu zaidi. Watz wote isipokuwa mafisadi wapo pamoja nanyi.
siasa za zanzibar si nyepesi kiasi hicho
ama mnatabu na hawa watu wa makanisani CHADEMA ni wote dada hata weweTunataka picha tuone magwanda na watu wao waliotoka nao huku na wale waliowafata kanisani kuwaomba wawasaidie.
Tunataka picha tuone magwanda na watu wao waliotoka nao huku na wale waliowafata kanisani kuwaomba wawasaidie.
Tumaini Makene,
Mkuu mbona kimya kimekuwa kingi namna hiyo hata kama mmepata watu wawili sio mbaya wanatosha wewe endelea kutupasha habari...tupe habari mkuu
Mkuu wewe ndio umeandika kule mzalendo.net kuwa CDM wanaenda kanisani? Kweli maiogopa CDM hadi mnatunga uwongo............? Poleni sanaNimesema mapena mimi kwa vile wameanza kampeni Kanisani ni sawa wameenda kujipaka mavi; wana wa Uzini wote lazima wawakimbieeeeee! Chezea Wazenj wewe! Labda wapate Jiziki lakini sio Jimbo!