Tumekusikiakama kawaida simba wamenunua mechi. simba wanaharibu sana ladha ya soka la tanzania ndio maana Watanzania wanaifuatilia yanga timu ya wananchi
Una jingineee????
Tumekusikiakama kawaida simba wamenunua mechi. simba wanaharibu sana ladha ya soka la tanzania ndio maana Watanzania wanaifuatilia yanga timu ya wananchi
Hii ni dalili ya kushindwa simba ikipata ushindi imenunua yanga ikishinda imeshinda kihalalikama kawaida simba wamenunua mechi. simba wanaharibu sana ladha ya soka la tanzania ndio maana Watanzania wanaifuatilia yanga timu ya wananchi
WoyooooooDilunga anakwenda kwenye benchi na nafasi yake anachukua Miraji Athuman upande wa Simba
Simba SC 1-0 Azam FC
Hawa ndugu na ugomvi wa ndugu huwezi kuingilia
75Dakika ya ngapi jamani?
Ipi mkuu mliyonyimwa?Tumenyimwa penalt ya wazi
Wouzeeeerrrr90+3 kuelekea kumalizika kwa mchezo huu wa VPL
Ni goal kick kuelekea lango la Azam FC refa anaangalia saa yake
Naaaaaaaaaaaaaaam mpira umekwisha uwanja wa Taifa ambapo Simba SC anaibuka na ushindi wa bao moja bila likiwekwa kimiani na Meddie Kagere kunako dakika ya 49 hivyo kwa matokeo haya Simba imejikita kileleni kwa alama 15.
Simba SC 1-0 Azam FC
Mwana kulitaka mwana kulipewa,90+3 kuelekea kumalizika kwa mchezo huu wa VPL
Ni goal kick kuelekea lango la Azam FC refa anaangalia saa yake
Naaaaaaaaaaaaaaam mpira umekwisha uwanja wa Taifa ambapo Simba SC anaibuka na ushindi wa bao moja bila likiwekwa kimiani na Meddie Kagere kunako dakika ya 49 hivyo kwa matokeo haya Simba imejikita kileleni kwa alama 15 kwa michezo 5.
Simba SC 1-0 Azam FC