Kutoka Uwanja wa Taifa: Vodacom Premier League 'VPL' Simba SC Vs Azam FC

Simba walianza kwa kulishambulia lango la Azam FC kwa kasi nakufanukiwa kupata kona mbili mfululizo amabazo hazikuzaa matunda

05' Simba SC 0-0 Azam FC
 
10' Hakuna bao kwa pande zote ingawa Simba wanajaribu kulishambulia lango la Azam FC huku nao wakijibu kwa kushtukiza

Simba SC 0-0 Azam FC
 
Domayo wa Azam FC, anapewa kadi ya njano kwa mchezo mbaya..!
 
15' VPL ndani ya Uwanja wa Taifa, bado milango ni migumu, kunako dakika ya 17 Chirwa anaikosesha Azam FC kuandika bao

Simba SC 0-0 Azam FC
 
20' Wadada kwake Mahundi, lakini anafika Shamte na kuondosha hatari ile, bado milango ni migumu uwanja wa Taifa

Simba SC 0-0 Azam FC
 
Yakub wa Azam FC anaunawa mpira na inakuwa faulo kuelekea lango la Azam FC, huku mpira ukiwa umesimama baada ya Yahya kupata majeraha.

Inapigwa free kick kulee, mpira unaokolewa na wachezaji wa Azam FC
 
30' Kagere anakwendaaaaa, lakini mwamuzi anasema Off Side, walinzi wa Azam FC wanaimarisha lango lao kuhakikisha hakuna madhara yoyote

Simba SC 0-0 Azam FC
 
Mzamiru anakwendaaaaaa mbele ndani ya box, hatari anaangushwa ni penatiiiiii...Lakini mwamuzi anasema hakuna kitu mpira uendelee..!

Ilikuwa baada ya Azam FC kulikosa lango la Simba SC
 
45' Vodacom Premier League, hakuna timu imepata bao kuelekea kuwa mapumziko.

Mashambulizi na makali wa pande zote kwa dakika hizi, Azam FC wameamka baada ya kuanza kwa kusuasua
 
Dilungaaa anakwenda mbele sasa lakini anafanyiwa madhambi...Ni faulo kuelekea Azam FC

Inapigwaaaaaa na Nyoniii, lakini inaokolewa
 
45+2' Muda wowote mpira utakuwa ni mapumziko kwenye mchezo huu wa VPL

Ni game ngumu, mpira ukiwa unatawaliwa rafu za hapa na pale, hata hivyo mwamuzi anajitahidi kuhakikisha analimudu vema hili pambano.

Naaaaaaaaaaaaaaam mpira ni mapumziko ambapo timu zinatoka bila kufungana kipindi hiki cha kwanza.

Simba SC 0-0 Azam FC
 
Back
Top Bottom