Kutoka Uwanja wa Taifa: Vodacom Premier League 'VPL' Simba SC Vs Azam FC

Uwage unajiweka wazi mdogo wangu kwamba na wewe ni shabiki wa Mikia.
Mara ya kwanza kuiona Simba ilikuwa kwenye mechi ya recorded enzi hizo kwenye video ilikuwa inamenyana na Enyimba ya Nigeria.

Ndio ilikuwa mara ya kwanza kuangalia mpira kwenye video/luninga, Kaseja alikuwa Fire enzi hizo.

Hadi hapo nilikongeka moyo nikaanza kuifuatilia redioni katika ligi za humu ndani.

Bila shaka nishajiweka wazi Dada yangu.
 
Wacha weee!!
 
Mechi hiyo ilipigwa shamba la bibi na Enyimba akafa 2-1, shukran kwa goli la pili la Boni Pawasa....ilikua 2003 hiyo mkuu, hatua ya makundi CCL
 
Back
Top Bottom