Kutoka Uwanja Karume: Vodacom Premier League 'VPL' Biashara United Vs Simba SC

Mwenye msimamo wa ligi ulivyo kwa sasa auweke hapa
September 26, 2019..Mambo yalikuwa hivi..SimbaNguvuMoja
tapatalk_1569760639918.jpeg
 
Nimekipenda kikosi cha Simba leo kwa kumuona tena Ndemla. Pia natamani kumuona na Yusuph Mlipili. Hii ndio maana halisi ya kikosi kipana. Manula hata angeanzia benchi ingependeza . Kila la heri Simba.
 
••••KICK OFF

Kipute kimeanza Uwanja wa Karume Stadium ligi kuu ya Tanzania..Kati ya Biashara United dhidi ya Simba SC, karibu kupokea Update..

Biashara United 0-0 Simba SC
 
05' Simba wanapata free kick..Inapigwa na Ajibuuuu, kwake Tshabalalaaaaaa lakini golikipa analala na kuudaka

Biashara Utd 0-0 Simba SC
 
10' Biashara wanacheza eneo la upande wao wakijaribu kupenya ngome ya Simba SC chini ya Wawa na Kennedy Wilson

Biashara Utd 0-0 Simba SC
 
Simba wasiwafunge hawo biashara
watoke tu bila bila

Manake hao akina mura wasije waka wakata mapanga wachezaji wetu
 
16' Dilunga anakwenda pembeni mwa uwanja lakini anafanyiwa faulo

Inapigwa mabeki wa Utd wanaokoa
 
Back
Top Bottom