FT: NBC Premier League: Simba 2 - 0 Dodoma Jiji | Uwanja wa Uhuru~20,08,2023

Carasco Putin

JF-Expert Member
Apr 23, 2022
8,675
25,850
Salaam Tanzania na duniani kote!
Mechi kubwa ya leo Tanzania na Afrika mashariki na kati ni kati ya SIMBA VS DODOMA JIJI

Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara inayojulikana kama NBC PREMIER LEAGUE (NBC), Kuendelea kushika kasi katika viwanja tofauti ambapo kwenye katika uwanja wa Uhuru Simba SC, Mnyama Mkali Mwituni kupepetana na dodoma jiji

Mchezo huo utarajiwa kuwa mkali na wakusisimua kwa muda wote wa dakika tishini ambapo Dodoma jiji wakitaka kuendeleza ushindi huku kwa upande wao Simba SC wakizisaka alama tatu muhimu ili kuweza kuweza kuongoza ligi

Kulitaka mwana, kulipewa mwana

Wanasimba na mdau wa kabumbu popote ulipo shuhudia hii Show ya Hatari kuanzia saa 10: 00 JIONI
IMG_0388.jpg

live AZAM SPORTS 1 HD kutoka kwa Simba SC, ya nguvu moja yenye viwango vinavyoeleweka
 
Salaam Tanzania na duniani kote!
Mechi kubwa ya leo Tanzania na Afrika mashariki na kati ni kati ya SIMBA VS DODOMA JIJI

Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara inayojulikana kama NBC PREMIER LEAGUE (NBC), Kuendelea kushika kasi katika viwanja tofauti ambapo kwenye katika uwanja wa Uhuru Simba SC, Mnyama Mkali Mwituni kupepetana na dodoma jiji

Mchezo huo utarajiwa kuwa mkali na wakusisimua kwa muda wote wa dakika tishini ambapo Dodoma jiji wakitaka kuendeleza ushindi huku kwa upande wao Simba SC wakizisaka alama tatu muhimu ili kuweza kuweza kuongoza ligi

Kulitaka mwana, kulipewa mwana

Wanasimba na mdau wa kabumbu popote ulipo shuhudia hii Show ya Hatari kuanzia saa 10: 00 JIONI View attachment 2722334

DJ wakilambwa chache ni 4
 
Simba wanacheza mpira wa huruma huruma sana, chenga nyingi na pasipasi.
Wabadilike washambukie mwanzo mwisho kama Yanga.

Ndio maana Simba ikikutana na timu ngumu kama Azam, Singida, Namungo, Prison, Ruvu Shooting nk inapata wakati mgumu sana na hata kufungwa wakati mwingine.

Pia Simba wakishambulia sana wanakata pumzi na wakati mwingine kuruhusu magoli ya kufungwa.

Kocha wa mazoezi ana kazi nzito ya kupandisha pumzi kwa wachezaji.
 
Huyo yanga si ndio ametoka kukandwa na simba siku si nyingi au wewe unamzungumzia yanga yupi?
 
Mkuu kufungwa sio hoja.
Angalia mechi za Yanga na Azam.
Halafu angalia mechi za Simba na Azam.
Azam hana ujanja mbele ya Yanga anachezewa mpira nginjanginja hadi anachemka na kuruhusu kufungwa kirahisi.
Azam akicheza na Simba anatawala mpira mwanzo mwisho na kutoka na ushindi.
Simba nalenale nyingi sana.
 
Hao wote walikuwepo tanga wamerudi na nini?
 
Salaam Tanzania na duniani kote!
Mechi kubwa ya leo Tanzania na Afrika mashariki na kati ni kati ya SIMBA VS DODOMA JIJI

Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara inayojulikana kama NBC PREMIER LEAGUE (NBC), Kuendelea kushika kasi katika viwanja tofauti ambapo kwenye katika uwanja wa Uhuru Simba SC, Mnyama Mkali Mwituni kupepetana na dodoma jiji

Mchezo huo utarajiwa kuwa mkali na wakusisimua kwa muda wote wa dakika tishini ambapo Dodoma jiji wakitaka kuendeleza ushindi huku kwa upande wao Simba SC wakizisaka alama tatu muhimu ili kuweza kuweza kuongoza ligi

Kulitaka mwana, kulipewa mwana

Wanasimba na mdau wa kabumbu popote ulipo shuhudia hii Show ya Hatari kuanzia saa 10: 00 JIONI View attachment 2722334
live AZAM SPORTS 1 HD kutoka kwa Simba SC, ya nguvu moja yenye viwango vinavyoeleweka
Ondoa ujingaa. Tupo bize Azam complex kuanzia saa11 jioni.
 
Kiongozi mbona mapema hivo!
 
Back
Top Bottom