Kutoka Uwanja Karume: Vodacom Premier League 'VPL' Biashara United Vs Simba SC

20' Mpira umebalance kwa pande mbili, Simba inabudili waongeze speed ili kuwachosha Biashara
 
Dillunga anatoka speed..Lakini anafanyiwa madhambi, inapigwaaaaa inakuwa inaokolewa na kuwa Kona

Inapigwa kona...inatoka nje ni wakurushwa
 
Huyu Kennedy Juma mipira yake yote anapiga nje hata kama hajakabwa veppe.
Anahitaj mazoez zaidi
 
Kagere kwake Ndemla anapiga Shutiiiiiii la la la golikipa anadaka, wakati huo huo amelala china anapatiwa matibabu

Biashara Utd 0-1 Simba SC
 
Back
Top Bottom