washwa washwa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 1,613
- 717
Leo nimefuatilia mkutano wa wachimba madini na Mh Rais, nimeona mojawapo wa wachangiaji akimweleza Rais bei ya Diamond carat moja ni dola 500 lakini nime search kwenye mtandao naona bei ni kati ya dola 1,500 hadi 5,000.
Source Diamond Prices
Source Diamond Prices