Kutoka ukumbi wa Mwalimu Nyerere Dar es Salaam, Mkutano mkuu wa Sekta ya Madini

Kwani raisi kupitia vymbo vyake vya usalama wa Taifa haya hayajui?
Lazima ujue kuwa duniani HULI CHOTE lazima ULE ULIWE!. Ili umfikie Tajiri huruhusiwi kwenda Direct kwake hata kama unaweza, Lazima upitie kwa Mtu X akupe Go ahead, Ukimruka X huenda Mali yako ikathaminishwa kuwa haina UBORA hata kama ina UBORA grade A!

Watu wameshagawana Dunia hii ndugu yangu, lazima ucheze kwa akili la SIVYO baki na midhahabu na Mialmasi yako uchezee bao!
 
Nawazungumzia wachimbaji dhahabu. Ni misheni town kwa sababu waliowengi hawajawahi kuingia kwenye shimo la dhahabu. Wanamiliki maeneo na kuyakondisha kwa wachimbaji halisia. Watoroshaji wa madini ni wale walanguzi walioko kati ya wachimbaji na wanunuaji wa mjini. Anayeingia shimoni ambaye ndiyo mchimbaji hatoroshi dhahabu. Yeye anauza dhahbu bila kufahamu inakwenda wapi.

Ombi kwako Mh. Rais, okoa maisha ya wachimbaji wadogo. Ruzuku zinazotolewa kwa wachimbaji ziwafikie wadogo badala ya Weizara kuzigawa kwa marafiki zao kwa kisingizio cha wachimbaji wadogo. Kuna chama bandia cha wachimbaji wadogo kinachotumika na Wizara kuchota pesa za wachimbaji, achana na hao!!
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom