Hapa ndo wanaume wanvyodanganywa.....Anasema kama pesa anazo lakini kakosa mwanamme aliyemwonyesha mapenzi ya kweli na aliyemfikisha kileleni kama mimi. Hilo ndo linanitisha nikaona niliweke kwenu wadau!
Karibuni kwa ushauri.
Sasa hizo comments zimejicontradict vip?
next time come with a better script....au unataka kuonyesha umahiri wako wa ku-quote?
it's not necessary to comment if you're not interested!
avatar yako noma mkuuWanawake ni vigeugeu sana. Kama alivyogairi kufunga ndoa na wewe ndivyo atakavyokuja gairi kuendelea na wewe. Hapo utakuwa huna familia tena na watoto wanateseka. Stay focused!
as your temper goes down..you can re-read the below comments...Let me wait till my temper goes down, then i'll have you get the reply you deserve!
story story story
Tyta una faili la huyu jamaa ili nianze kuchangia?
First mkeo sio material wife ni wife material...Halafu hili la one billion sounds like bongo movie...
Promoooo izo kwamba we ndio wajua kugegeda sana
Hadith za watoto wa Div-5
Kawambwa katuharibia Taifa.
Umuofia Oyeee...
Mkuu hapo kwenye one billion ondoa,itakua kamba hii.
story za viduku...do you kno one billion.
Nooo miss strong ni story ya Shigongo hii, please do not be fooled.. 1 bil mchezo..... watanzania wenye bil 1 hawafiki hata 100
Ingeweza kufanana na ukweli endapo usingeweka hayo maneno "bilioni 1"
haka kastory kanatufundisha nn
Unatuomba ushauri au unatupa story??
Sory za kutunga zimekuwa nyingi sana MMU khaa!
Siredi za kitoto hizi ....!
One billion mnaijua nyie????
kijana ana post tatu tu....hii ni ya kwanza MMU...
AKIJICHANGIA HII MADA....Topic: Swali kwa waliooa/kuolewa
AKAONGEZEA...
ANGALIA MANENO YAKO YASIKUHUKUMU...
HAPA AKIMPIGA MKWARA MLA WAKE ZA WATU...KASAHAU YEYE ''MME WAS MTU''
AKIUNGA MKONO COMMITMENT YA NDOA...
mytake:ndoa na iheshimiwe nawatu wote...
as your temper goes down..you can re-read the below comments...
I REPEAT..NEXT TIME COME UP WITH A BETTER SCRIPT....