Kutoka mke mtarajiwa hadi mchepuko

Kutoka mke mtarajiwa hadi mchepuko

Tyta una faili la huyu jamaa ili nianze kuchangia?

kijana ana post tatu tu....hii ni ya kwanza MMU...

Wana MMU, Umuofia kwenu!
Kuna kisa kimenikuta nimeona sehemu pekee ya kupata ushauri na mawazo mapana ni kwenu!
.......................
Hilo ndo linanitisha nikaona niliweke kwenu wadau!Karibuni kwa ushauri..

AKIJICHANGIA HII MADA....Topic: Swali kwa waliooa/kuolewa

Hebu fikiria, katika wanawake /wanaume wote uliotembea nao kabla ama baada ya kuoa/kuolewa.
Ingetokea siku moja, wakati mmoja wakaja mbele yako ukiwa na mwenza wako kukushtaki kwake, unadhani ni yupi atakutia aibu sana kiasi kwamba ungejua b4 ungetumia gharama yeyote asije?

Pili; kama wewe ni mwanaume umeoa mwanamke unaemwamini sana, ukastaajabu hiyo siku, wale wapenzi wa mwanamke idadi yake ni zaidi ya mara kumi ya wale wa kwako, imani yako kwake itaendelea kuwepo?
mara nyingi wengi tunapooa tunasahau yaliyopita. ila viwembe ni kama panya vile kila siku wanasaka tundu jipya!
AKAONGEZEA...
kukutana na wanawake/wanaume wa aina mbalimbali kabla ya kuoa au kuolewa inampa mtu uwezo wa kujua aina za watu kwenye anga za mapenzi; wanafiki, wazandiki, true lovers, cheaters, womanizers/menizers, infidelities, wife/husband material n.k, kama wakisimama mbele yenu na tayari ninyi ndo mmeshachaguana basi walie tu, na watambue kuwa wao walikuwa sample! upo hapo?
ANGALIA MANENO YAKO YASIKUHUKUMU...
Wenye Pete wengi ndio wasaliti wakubwa kwenye ndoa zao.
HAPA AKIMPIGA MKWARA MLA WAKE ZA WATU...KASAHAU YEYE ''MME WAS MTU''
Kumbe unakula hadi wake za watu! Adhabu itakuwa imeanza pole pole, kuwa mwangalifu!
AKIUNGA MKONO COMMITMENT YA NDOA...
kama asili yake pete ina maana sana katika ndoa.

Ni ishara ya commitment kwa mume au mke wako na heshima kwa ndoa yenu. Unfortunately siku hizi wanandoa walio wengi hawazithamini inavyotakiwa ndo maana haya yanatokea.

Wengne wanachepuka anavua anaweka pemben anagegedwa na mchepuko akimaliza anavaa tena au wengne anagegedwa nayo kidoleni!
uko sahihi 100% take my like!
mytake:ndoa na iheshimiwe nawatu wote...
 
Umuofia Oyeee...
Mkuu hapo kwenye one billion ondoa,itakua kamba hii.
 
Wanawake ni vigeugeu sana. Kama alivyogairi kufunga ndoa na wewe ndivyo atakavyokuja gairi kuendelea na wewe. Hapo utakuwa huna familia tena na watoto wanateseka. Stay focused!
 
pole zake mteme endelea na familia yako utamuaminije huyo wakati mwanzo alizingua
 
story za viduku...do you kno one billion.
 
Ingeweza kufanana na ukweli endapo usingeweka hayo maneno "bilioni 1"
 
kijana ana post tatu tu....hii ni ya kwanza MMU...



AKIJICHANGIA HII MADA....Topic: Swali kwa waliooa/kuolewa



AKAONGEZEA...

ANGALIA MANENO YAKO YASIKUHUKUMU...

HAPA AKIMPIGA MKWARA MLA WAKE ZA WATU...KASAHAU YEYE ''MME WAS MTU''

AKIUNGA MKONO COMMITMENT YA NDOA...


mytake:ndoa na iheshimiwe nawatu wote...

Sasa hizo comments zimejicontradict vip? au unataka kuonyesha umahiri wako wa ku-quote?
 
Wanawake ni vigeugeu sana. Kama alivyogairi kufunga ndoa na wewe ndivyo atakavyokuja gairi kuendelea na wewe. Hapo utakuwa huna familia tena na watoto wanateseka. Stay focused!

Thanks, advise taken!
 
Back
Top Bottom