Daniel Mwinula
JF-Expert Member
- Jul 15, 2012
- 302
- 328
Pète ni uthibitisho tu kwmb upo kwny taasisi mkuu. Ila mtakavyoishi ndani ndo itaonesha kama kweli mnapendana or not
ndoa sio pete bali ni moyo wako mmkuu na matendo yale kuishi kama wanandoa.
pete ni ishara tu kuwa umeoa ila wapo wanaochepuka nazo hta guest house
maana halisi ya pete kwangu siijui
Ndio maana nikaamua kutoa uthia kuweka sura yote kwa vile haaaninisha aya gani zinatohoa hoja husika kuhusu pete ya ndoa. Wengine hukaririshwa aya.
nimesoma wee sijaona mahali rebeka alimvalisha isaka pete. Pia sijaona mahali isaka alipomvalisha rebeka pete. Rebeka alivalishwa vito na mjakazi wa ibrahim (mshenga). Aliwapa pia vito vya thamani kaka na mama wa rebeka. Mi naona ni kama mahari hivi na baada ya siku 10 wakamchukua mwali kumpeleka kwa mume. Pete ni ishara kwa wale wa dini zinazotumia pete kama ishara ya agano la kupendana, kuaminiana na kuwa mwili mmoja. Si kila mwanandoa anayo. Madhehebu mengine kama wasabato hawavalishani kabisa pete na ndoa zao hazina walakini unaotokana na kukosekana pete.
kama asili yake pete ina maana sana katika ndoa.
Ni ishara ya commitment kwa mume au mke wako na heshima kwa ndoa yenu. Unfortunately siku hizi wanandoa walio wengi hawazithamini inavyotakiwa ndo maana haya yanatokea.
Wengne wanachepuka anavua anaweka pemben anagegedwa na mchepuko akimaliza anavaa tena au wengne anagegedwa nayo kidoleni!
Moyo Bado Upo KushotoNdoa ni ndo tu, pete ni ishara ya upendo na uamnifu. Hii kitu historia yake ipo hadi kwenye biblia sikumbuki ni kitabu gani. Kwa sababu moyo upo kushoto na pete huvaliwa upande huohuo kuonesha upendo toka moyoni.