Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,754
Ilishawahi kushuhudia tatizo la mtu kama hili kwako?
hapana sijawahi why umeuliza
Ilishawahi kushuhudia tatizo la mtu kama hili kwako?
Kwanza uliingia kwenye shughuli confidence level yako ikiwa chini kutokana na rating ya juu sana uliyompa huyo mtani wa jadi - kwa uchache umempa sifa za mwanamke bora, smart intelligent, very informed, beautiful etc. Kwa taarifa yako sifa zote hizo hazi apply kwenye ile shughuli ya wanaume na wanawake pale kinachotakiwa ni yule bwana mdg. aingie sehemu stahiki na adumu kuwa active mpaka utakapoamua vinginevyo baaaas; Pili ulikwenda kwenye sehemu yenye gharama kubwa mno (kama ni ukweli) yaani four star hotel. Nakiri kuwa sina uhakika na kipato chako ila yumkini ulitoboka mfuko. Na hili la pili ni ushahidi wa lile wa kwanza kuwa ulimpa heshima kubwa mno (four star status) huyo bibiye mpaka ukajiletea stress za bure. Ile ya mara ya pili ndio kabisaaa ulijawa na woga wa kushindwa tena kama mara ya kwanza.Habari zenu wanaJF. Nakuja kwenu rasmi kuomba msaada wa mawazo na ushauri. Mimi nimetokea kumpenda dada mmoja mrembo kabisa na ana kila sifa ya mwanamke bora, yupo smart, intelligent na very informed, nilimtaka kimapenzi na baada ya muda Mrefu wa kuwa Na confidence na mimi alinikubali. Tulipanga siku kukutana Kwa ajili ya mazungumzo, nilitafuta hotel nzuri ya 4 star na tukawa na muda mwingi sana wa mazungumzo na baadae kufika kwenye tendo lenyewe. Ukweli hisia zangu zipo juu mno na nina mpenda sana na nia yangu na furaha yangu ilikuwa kumpa mambo mpaka afurahi na alidhike kweli, Cha kustaajabisha, nilishindwa kufanya nae sex onavyopaswa, ukweli ni kwamba ilikuwa inanichukua muda mrefu sana kisimama na kuhitaji tena, hivyo nilifanya nae goal 2 hafifu mno.
Ukweli alisikitika sana halikadharika mimi pia, kwani uwezo wangu naujua vyema. Baada ya hapo tulipanga tena na katika kipindi kisichozidi wiki 3 tulikutana nae lakini hali ilazidi kuwa mbaya zaidi, mara ya mwisho kabisa ni pale tulipofanya romance na ukipofika hatua ya kuvuana chupi na kufanya tendo lenyewe uume wangu ukasinzia kabisa. Nilipatwa na hasira sana pia dada wa watu, ajabu sasa ni pale ambapo nikiachana nae dakika 2 tu najikuta nahitaji sana.
Ndugu zangu nimeshindwa kuelewa nini kimetokea, lakini ukweli wa moyo wangu bado nampenda sana na ninajua ninao uwezo mkubwa katika eneo hilo. Ninayo mifano mingi sana kwani nimekuwa na mahusiano mengi huko nyuma na baadhi yao mpaka Leo bado wanataka ingawa ni wake za watu.
Naombeni msaada na ushauri wenu.
Zinaa ni dhambi... full stop
Qur'an 17:32. Wala msikaribie uzinzi. Hakika huo ni uchafu na njia mbaya. ***
Jamani nataka nilete mrejesho kwenu waungwana. Napoandika ujumbe huu ukweli ni kwamba nimetoka ku check kama kweli tatizo ni langu au la, proof ni kwamba nimetoka kupiga mechi tangu Friday mpaka Suday hii around saa 11 alfajiri. Nimepiga kazi sana tu, usiku wa kwanza nimepiga bao 3 bao la kwanza it took me zaidi ya 5 minute, na demu alikojoa. Bao la pili ilikuwa issue sana it took zaidi ya 12min na la tatu jamani niwe mkweli ni baada ya kuwa tumetoka kula usiku, I spent zaidi ya 20min kila mtu alichoka sana sana lakini kiu ilikata yote.
Baada ya hapo ulikuwa usingizi mzito sana mpaka usiku mkubwa around saa 8 tulipiga mechi nyingine na mechi nyingine around saa 2 kabla ya mimi kuondoka na kuingia kwenye mishemishe. Kwakuwa siku yangu ya jmosi ilikuwa ndefu sana, ilinilazimu kurudi jioni sana, hivyo game ilianza tena saa 1:30 jioni, tuligonga moja na baadae kwenda kutafuta chakula, tumerudi saa 9 na chupa ya wine, demu kapiga ma-wine akawa safii, tukapiga mechi nyingine kabla ya kulala, it took us karibu 15min kulipata bao lingine, ngoma ya mwisho ilikuwa asubuhi ya Leo kabla ya kuondoka (kusafiri kurudi alikotokea), tumefanyana sana na kila style mpaka nilipopata bao jepesi mno sana kwani tayari nilikuwa nimesha tumika sana.
Ukweli nime-prove issue si kwamba nina tatizo, sijui kwanini Dudu imegoma kupiga kazi Kwa huyu mrembo, mpaka usawa huu nimeshindwa kuelewa. Otherwise ame amewekewa tego wanaita watu wa Pwani.
Asanteni sana Kwa ushauri wenu na comment zenu, was so fantastic kusema ukweli.
hapana sijawahi why umeuliza
Ngono zembe ni hatari kwa maisha yako! Mda mwengine mizimu ya kwenu inakuepusha na matatizo! Oooh!
Ninajaribu kupata picha siioni, siku nikipata tatizo kama lako sijui itakuwaje
Habari zenu wanaJF. Nakuja kwenu rasmi kuomba msaada wa mawazo na ushauri. Mimi nimetokea kumpenda dada mmoja mrembo kabisa na ana kila sifa ya mwanamke bora, yupo smart, intelligent na very informed, nilimtaka kimapenzi na baada ya muda Mrefu wa kuwa Na confidence na mimi alinikubali. Tulipanga siku kukutana Kwa ajili ya mazungumzo, nilitafuta hotel nzuri ya 4 star na tukawa na muda mwingi sana wa mazungumzo na baadae kufika kwenye tendo lenyewe. Ukweli hisia zangu zipo juu mno na nina mpenda sana na nia yangu na furaha yangu ilikuwa kumpa mambo mpaka afurahi na alidhike kweli, Cha kustaajabisha, nilishindwa kufanya nae sex onavyopaswa, ukweli ni kwamba ilikuwa inanichukua muda mrefu sana kisimama na kuhitaji tena, hivyo nilifanya nae goal 2 hafifu mno.
Ukweli alisikitika sana halikadharika mimi pia, kwani uwezo wangu naujua vyema. Baada ya hapo tulipanga tena na katika kipindi kisichozidi wiki 3 tulikutana nae lakini hali ilazidi kuwa mbaya zaidi, mara ya mwisho kabisa ni pale tulipofanya romance na ukipofika hatua ya kuvuana chupi na kufanya tendo lenyewe uume wangu ukasinzia kabisa. Nilipatwa na hasira sana pia dada wa watu, ajabu sasa ni pale ambapo nikiachana nae dakika 2 tu najikuta nahitaji sana.
Ndugu zangu nimeshindwa kuelewa nini kimetokea, lakini ukweli wa moyo wangu bado nampenda sana na ninajua ninao uwezo mkubwa katika eneo hilo. Ninayo mifano mingi sana kwani nimekuwa na mahusiano mengi huko nyuma na baadhi yao mpaka Leo bado wanataka ingawa ni wake za watu.
Naombeni msaada na ushauri wenu.
Kisungu nashukuru sana Kwa ushauri wako mkuu, ukweli unachosema kina substance kubwa mno na ni Cha msingi sana. Hakika naamini kuna substance kubwa sana kwenye ushauri wako. Nimekuwa kwenye mahusiano muda mrefu na nina namba ya kutosha behind, na ukweli upo clear na evidences ninazo Kwa wale wanao jaribu kubeza, wengi wa niliokuwa nao kwenye mahusiano wameolewa na wapi na familia zao cha ajabu mpaka Leo bado wana sneak kutaka kufanya nao sex kwasababu wanajua what I gave to them, sikuwa mtu wa papara katika kuchagua nani napaswa kuwa nae kwenye mahusiano ya kimapenzi. Kwangu hii ni muujiza mkubwa mno, haijawahi kutokea maishani mwangu. Tena Kwa mwanamke decent kiasi hiki ambaye nina chemistry zote nae. Kifupi nimeamua kuwa mpole nimekubali matokeo, kwani attempt zaidi ya 5 si jambo dogo, na kusema issue ya maandalizi kwenye suala hilo siyo sababu hata kidogo kwangu, kwani nimewahi kufanya hivyo na wengine lakini it worked even the best, huyu tume wahi hata kufanya sex wild kabisa Porini kwenye gari, tulisafiri nae kwenye business tu za kimatembezi tukiwa njiani tunarudi nikasema ni hebu tutafute kichaka tuegeshe gari, ukweli aligoma goma na mwisho alikubali na akanipa, it's was embarrassing sana kwani alinikalia na nili push mara kadhaa nikakojoa fast na si kukojoa Kwa maana hata kidogo kwani najua when I real shot navyokuwa. Hata za kwenda home imetokea mara mbili, tunaenda just for talk na kuona issue flani, mwisho wa siku hisia zinapanda sana na kujaribu kufanya kitu inagoma. Anyway bado natafuta kujua kaka kuna zaidi ya over excitation au kitu kingine.
Tutaaminije ulilala 4 star??? Wabongo bana kwa misifa ulimpa ngapi wakati anaondoka???
Jibu nikusaidie dawa