Geekunexpect
Member
- May 4, 2016
- 50
- 33
Hayuko serious huyo.Tupo mmoja alikuwa anajiita master.alikuwa balaah.karibia na jengo la yanga kariakoo.sijui yuko wapi siku hizi.De mtatuzi alikuwa anafundisha hesabu anasema yeye Africa nzima hakuna wa kumshibda hesabu
Hakuna 'picha' za haya mnayoyajadili hapa??
Huna lolote ...Watu hatujasoma hayo ma tuition yenu , tumepiga msuli yatima na tumetoboa, sometimes ni kuwajaza watu matumbo yao hela za bure
Nunua Review za masomo yako, nunua vitabu pia, piga topic mapema, solve past paper ,necta hukos 1 au 2.
Hao kina mudy wanawalemaza ubongo
Wewe ni muhanga wa hayo ma tuition na ukaishia kupata div 3Huna lolote ...
Wewe pumba tupu tWewe ni muhanga wa hayo ma tuition na ukaishia kupata div 3
Si kwa povu hilo
anajisifu kukariri reviewWewe pumba tupu t
Hahaah umeona e ,mi watu pumba kma ao kukarikariii nawajua sana maneno mengi t lkn kichwa maji kukariri review t anataka atunywishe sumu cc c mbulula kama yeyee ....[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]anajisifu kukariri review
Nasikia huyo jamaa ana nyumba zaidi ya tisa Dar alizozijenga kwa mapindi tu.vijana wa mchikichini... vp aiden bado yupo!!??
We mtoto Wa st marry utaweza wapi mambo ya mchikichini hahahah unaweza kutumbukia kwenye ile mitaro ya maji machagu au kubakwa na tejahiyo tuition mhhhh..nlienda siku ya kwanza sikurud tenaaa
Utakuwa ulienda kwa Mandela jamaa alikuwa anapiga udsm enzi zile ana upara hivi anaongea sanatuition...ticha akantongoza siku hiyohiyo..."u r so beautiful jay..napenda kuona hivo vidimpoz vyako ukicheka..u mrefu kama twiga unavotembea unanivutia unajua**"""
mi najibu tu asante huku nimeshika chaki nachora chini.
dada akanipiga mkwara marufuku kukanyaga kule..nkaja gundua ticha ni mwanafunz udsm sijui yuko likizo...walah angenigeuza mke wake yule
Engineer mzima unakosa swali la kitoto
Badilisha hiyo ID mapema iwezekanavyo
cjawahi watumia wote hao na bado ni katoka vizuri...nashukuru walimu wangu washuleni ambao walijitoa kuhakikisha tunafaulu na kweli tulifaulu bila kupita mchikichini....