mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 5,418
- 8,408
Huyu jamaa analindwa na alie juu ya sheria, si aende tu mahakamani mbona mahakama zote ni zao?Mkuu,wengi wanamuona ZZK kama mpayukaji lkn hoja yake ina mantiki.
Huyu jamaa analindwa na alie juu ya sheria, si aende tu mahakamani mbona mahakama zote ni zao?Mkuu,wengi wanamuona ZZK kama mpayukaji lkn hoja yake ina mantiki.
Wewe ni msemaji wa upande huo?
Any way,
Kesi kama hizi ni kama kupoteza nguvukazi za watu (kodi) kwa faida ya wachache
Mfano,
Hii kesi inaweza kuzalisha chochote cha manufaa zaidi ya kumtoa mshindi ambaye hata hivyo sio wote watakubali ameshinda?
Tunahitaji kuachana na hizi siasa, REAL Tunaichelewesha Tanzania bila sababu
Hazina faida!
Kama Hapa ni kazi Tu,
Zifanyike kazi physical, Sio illusions ambazo zinakula TIME!
HAMTANIELEWA!
Hivi huu uhakiki una maana gani kama Mkuu wa Mkoa mwenyewe ni Kihiyo hivi serikali hii haioni aibu kwa hizi double standard?Ataieleza mahakama alipataje shahada uchwara bila kuwa na cheti cha kidato cha 4.
Vipi Dododma viwavi wameisha?Ruzuku wafanyie nini wakati mmewazuia wasifanye siasa?Kama wewe ni mwamba wa kulima tusingesikia ulaji wa viwavi huko Dodom.Kila mtu atafute haki yake na kila chama kifanye kitu sahihi siyo kuwadanganya watu,mwacheni Lipumba huru maana na waachieni CUF.Tushirikiane kujenga nchi ya viwanda siyo kuwaza uchaguzi na siasa za ovyo.Wajinga hawa mvua zinanyesha hawaendi kulima baadae wanakuja na propaganda za njaa, wenyewe ni kutafuna hela ya ruzuku kupitia kesi chama kina zaidi ya miaka ishirini makao makuu yao hata nyumba yangu ina afadhali hawaoni mfano wa chama cha jubilee nchini kenya kimeanzishwa 2013 lakini makao makuu yao ni bonge la ghorofa still kuna watu wanashabikia eti chama siyo majengo, hivi kuna mwehu gani atakaekipa chama kama hicho dola ilhali chenyewe kimeshindwa kujiendesha chama hakina hata ofisi nijikute nakuchagua labda niwe nimelogwa huku mikoani ofisi za wilaya wanakodi fremu za maduka ndiyo ofisi na nyingi kwa sasa zimefungwa baada ya uchaguz kumalizika kisa fedha za kulipia pango hakuna ilhali mtemi mbowe na wenzake wakiendelea kuziponda ruzuku kwa kesi zisizo na kichwa wala miguu, walifungua kesi kupinga zuio la mikutano mahakama ya mwanza hata sijui iliishia wapi, wakafungua nyingine mahakama ya east Africa nayo imeyeyuka sasa wamefungua hii tena nayo itayeyuka vile vile huku ruzuku ikiendelea kuteketea.
kUCHAFUKA kivipi wakati kesi haijaamuliwa na kuhukumiwa kuwa mhalifu? Kuitwa polisi si kuwa wewe ni mhalifu waweza itwa uisaidie polisi.Mfano kuna kibaka kajificha makao makuu CHADEMA.mBOWE AWEZA ITWA KESI YA KUHUSIANA NA VIBAKA lakini haitwi kwa kuwa ni kibaka anaitwa akasaidie polisi.Utahangaikaje kusafisha mtu ambaye hujaelezwa uchafu wake ni upi na mahakama ikahakiki.MMEGEUZA SWALA BINAFSI LA CHAMA MNATUMIA RUZUKU ZA KODI ZETU KUZIBOMOA KWA KISINGIZIO CHA GHARAMA ZA MAWAKILI AMBAO NAO NI CHADEMA.nI NJIA YA KUWAGAWIA PESA MAWAKILI.hIYO KESI NI YAKE BINAFSI ALITAKIWA AHANGAIKE NAYO KWA GHARAMA ZAKE MWENYEWE
....Well kama ameweza kwenda vacation America and Europe atashindwaje kulipa fidia? Surely haziwezi kuchukuliwa kodo za wananchi coz hakuna aliyemtuma kutenda kinyume na taratibu za nchi. Si umeona kamishna mpya anavyotekeleza majukumu yake efficiently? Je PM Majaliwa juzi kasemaje pia? Kamwe kamishna hawezi kumbwa na kesi za kujitakia kama hizi.Lakini kama kesi ni kuzuia Makonda asiite watu, na ameshakabidhi jukumu kwa mwenye jukumu lake hii kesi bado ina mantiki?
RC akifunguliwa kesi ya kuchafua mtu akatakiwa kulipa fidia pesa atatoa mfukoni mwake au zitachukuliwa kodi za wananchi?
kulewa madaraka ni shida sanaMakonda, Sirro na Wambura hawawezi kuacha kazi za kitaifa wakashinda mahakamani. Wataenda mawakili wa Serikali tu kwani washtakiwa no watumishi na walikuwq wqnatekeleza majukumu ya Jamhuri
Nanusa vita mbaya kabisa ya Mihimili na mchochezi wa vita hii tusipomsitukia twafwa!!Mkuu wa Mkoa Makonda na Kamanda Sirro hawajaonekana Mahakamani, lakini kuna Muda nlimuona Kamanda Wambura viunga vya Mahakama ila sijui akapotelea wapi.
Mungu yupi? Mbona mnalichezwa sana hilo jina la Mungu?Makonda Naomba usiende Mahakamani
Hii ni vita
Lazima watokee watu kukupinga
Fanya Kwa kumtanguliza mwenyezi mungu mbele
Utalipwa na Mwenyeziungu
Updates kwa waandishi;
Kesi ya Mwenyekiti Mbowe Vs RC Makonda, RPC Sirro na ZCO Wambura Mahakama Kuu imeshaanza na inaendelea muda huu, Chemba namba 64. Baada ya kesi, Viongozi wa Chama pamoja na Wanasheria watazungumza na waandishi wa habari hapa hapa mahakamani kuhusu tukio la jana la Mwenyekiti kushikiliwa polisi hadi saa 7 usiku alipoachiliwa kwa dhamana baada ya kupekuliwa nyumbani kwake na kutakiwa kuripoti tena Jumatano wiki hii. Aidha watazungumza kuhusu kesi hii ya kikatiba namba 1 ya 2017.
NB; Tunaomba mpuuze uzushi unaoenezwa kwa njia mbalimbali kwamba Mjumbe wa Kamati Kuu na Waziri Mkuu Mstaafu Edward atazungumza na vyombo vya habari leo. Ni habari za uongo.
Makene
Makonda, Sirro na Wambura hawawezi kuacha kazi za kitaifa wakashinda mahakamani. Wataenda mawakili wa Serikali tu kwani washtakiwa no watumishi na walikuwq wqnatekeleza majukumu ya Jamhuri
Mungu yuko over and above the lawHuyu jamaa ameligomea bunge na leo ameigomea mahakama. Sasa kuna maana gani ya utawala wa katiba. Kama muhimili wa serikali upo juu ya sheria basi ushauri wa zitto wa kufuta bunge ulikuwa sahihi
Akuelewe nani wakati katiba zinavunjwa?nchi inaongozwa kwa matamko tangu lini?Wewe ni msemaji wa upande huo?
Any way,
Kesi kama hizi ni kama kupoteza nguvukazi za watu (kodi) kwa faida ya wachache
Mfano,
Hii kesi inaweza kuzalisha chochote cha manufaa zaidi ya kumtoa mshindi ambaye hata hivyo sio wote watakubali ameshinda?
Tunahitaji kuachana na hizi siasa, REAL Tunaichelewesha Tanzania bila sababu
Hazina faida!
Kama Hapa ni kazi Tu,
Zifanyike kazi physical, Sio illusions ambazo zinakula TIME!
HAMTANIELEWA!