Kutoka Mahakama Kuu: Kesi ya Mbowe dhidi ya RC Makonda, RPC Sirro na ZCO Wambura

Wewe ni msemaji wa upande huo?

Any way,

Kesi kama hizi ni kama kupoteza nguvukazi za watu (kodi) kwa faida ya wachache


Mfano,


Hii kesi inaweza kuzalisha chochote cha manufaa zaidi ya kumtoa mshindi ambaye hata hivyo sio wote watakubali ameshinda?


Tunahitaji kuachana na hizi siasa, REAL Tunaichelewesha Tanzania bila sababu

Hazina faida!


Kama Hapa ni kazi Tu,

Zifanyike kazi physical, Sio illusions ambazo zinakula TIME!


HAMTANIELEWA!

....Umesema ''Tunaichelewesha Tanzania bila sababu'' nami nakuuliza 50 yrs plus after independence (kumbuka tulikuwa sawa na nchi za Asia kama Malaysia) nani hasa alituchelewesha na kutufanya tufikie hapa tulipo??

.....Umesema ''Wewe ni msemaji wa upande huo?'' Wewe hapa ni msemaji wa nani? nani kakutuma?

....Umesema ''Kesi kama hizi ni kama kupoteza nguvukazi za watu (kodi) kwa faida ya wachache'' Tumeshuhudia several times watu wanakamatwa kutoka kona moja ya nchi na kuletwa DSM, hata pale ambapo watu hao wangeweza kuitwa wakaja au wakahojiwa huko waliko. Wengine wanafuatwa usiku wa manane, wengine wanaviziwa usiku kucha huko mjengoni...why all these troubles and who pays for this?
 
naona watu humu ndani mnazodoana tu lakini updates za kinachoendelea mahakamani hakuna.

mwenye kujua kinachoendelea mahakamani atujuze wakuu.
 
Wajinga hawa mvua zinanyesha hawaendi kulima baadae wanakuja na propaganda za njaa, wenyewe ni kutafuna hela ya ruzuku kupitia kesi chama kina zaidi ya miaka ishirini makao makuu yao hata nyumba yangu ina afadhali hawaoni mfano wa chama cha jubilee nchini kenya kimeanzishwa 2013 lakini makao makuu yao ni bonge la ghorofa still kuna watu wanashabikia eti chama siyo majengo, hivi kuna mwehu gani atakaekipa chama kama hicho dola ilhali chenyewe kimeshindwa kujiendesha chama hakina hata ofisi nijikute nakuchagua labda niwe nimelogwa huku mikoani ofisi za wilaya wanakodi fremu za maduka ndiyo ofisi na nyingi kwa sasa zimefungwa baada ya uchaguz kumalizika kisa fedha za kulipia pango hakuna ilhali mtemi mbowe na wenzake wakiendelea kuziponda ruzuku kwa kesi zisizo na kichwa wala miguu, walifungua kesi kupinga zuio la mikutano mahakama ya mwanza hata sijui iliishia wapi, wakafungua nyingine mahakama ya east Africa nayo imeyeyuka sasa wamefungua hii tena nayo itayeyuka vile vile huku ruzuku ikiendelea kuteketea.
Vipi Dododma viwavi wameisha?Ruzuku wafanyie nini wakati mmewazuia wasifanye siasa?Kama wewe ni mwamba wa kulima tusingesikia ulaji wa viwavi huko Dodom.Kila mtu atafute haki yake na kila chama kifanye kitu sahihi siyo kuwadanganya watu,mwacheni Lipumba huru maana na waachieni CUF.Tushirikiane kujenga nchi ya viwanda siyo kuwaza uchaguzi na siasa za ovyo.
 
Kumbe wanajijua wamevunja sheriaeee!!!! Kwanini wasiitikie wito wa mahakama?Au kuna mamlaka ya shetani yametoa amri wasiitikie wito!!!.
 
kUCHAFUKA kivipi wakati kesi haijaamuliwa na kuhukumiwa kuwa mhalifu? Kuitwa polisi si kuwa wewe ni mhalifu waweza itwa uisaidie polisi.Mfano kuna kibaka kajificha makao makuu CHADEMA.mBOWE AWEZA ITWA KESI YA KUHUSIANA NA VIBAKA lakini haitwi kwa kuwa ni kibaka anaitwa akasaidie polisi.Utahangaikaje kusafisha mtu ambaye hujaelezwa uchafu wake ni upi na mahakama ikahakiki.MMEGEUZA SWALA BINAFSI LA CHAMA MNATUMIA RUZUKU ZA KODI ZETU KUZIBOMOA KWA KISINGIZIO CHA GHARAMA ZA MAWAKILI AMBAO NAO NI CHADEMA.nI NJIA YA KUWAGAWIA PESA MAWAKILI.hIYO KESI NI YAKE BINAFSI ALITAKIWA AHANGAIKE NAYO KWA GHARAMA ZAKE MWENYEWE

Jana humu mlimuita mbowe majina yote ya ufedhuli leo umekuwa mpole kama kuku wa kisasa
 
mkuki kwa nguruwe. jamaa wamechanja mbuga, wameingia mitini. wanachungulia jf Kama sisi
 
Lakini kama kesi ni kuzuia Makonda asiite watu, na ameshakabidhi jukumu kwa mwenye jukumu lake hii kesi bado ina mantiki?

RC akifunguliwa kesi ya kuchafua mtu akatakiwa kulipa fidia pesa atatoa mfukoni mwake au zitachukuliwa kodi za wananchi?
....Well kama ameweza kwenda vacation America and Europe atashindwaje kulipa fidia? Surely haziwezi kuchukuliwa kodo za wananchi coz hakuna aliyemtuma kutenda kinyume na taratibu za nchi. Si umeona kamishna mpya anavyotekeleza majukumu yake efficiently? Je PM Majaliwa juzi kasemaje pia? Kamwe kamishna hawezi kumbwa na kesi za kujitakia kama hizi.
 
Mkuu wa Mkoa Makonda na Kamanda Sirro hawajaonekana Mahakamani, lakini kuna Muda nlimuona Kamanda Wambura viunga vya Mahakama ila sijui akapotelea wapi.
Nanusa vita mbaya kabisa ya Mihimili na mchochezi wa vita hii tusipomsitukia twafwa!!
 
hii ni kama swala anamkimbiza Simba afu Simba anachanja mbuga kwa kumuogopa swala. lazima ushangae
 
Makonda Naomba usiende Mahakamani
Hii ni vita
Lazima watokee watu kukupinga
Fanya Kwa kumtanguliza mwenyezi mungu mbele
Utalipwa na Mwenyeziungu
Mungu yupi? Mbona mnalichezwa sana hilo jina la Mungu?
Updates kwa waandishi;

Kesi ya Mwenyekiti Mbowe Vs RC Makonda, RPC Sirro na ZCO Wambura Mahakama Kuu imeshaanza na inaendelea muda huu, Chemba namba 64. Baada ya kesi, Viongozi wa Chama pamoja na Wanasheria watazungumza na waandishi wa habari hapa hapa mahakamani kuhusu tukio la jana la Mwenyekiti kushikiliwa polisi hadi saa 7 usiku alipoachiliwa kwa dhamana baada ya kupekuliwa nyumbani kwake na kutakiwa kuripoti tena Jumatano wiki hii. Aidha watazungumza kuhusu kesi hii ya kikatiba namba 1 ya 2017.

NB; Tunaomba mpuuze uzushi unaoenezwa kwa njia mbalimbali kwamba Mjumbe wa Kamati Kuu na Waziri Mkuu Mstaafu Edward atazungumza na vyombo vya habari leo. Ni habari za uongo.

Makene
 
Wewe ni msemaji wa upande huo?

Any way,

Kesi kama hizi ni kama kupoteza nguvukazi za watu (kodi) kwa faida ya wachache


Mfano,


Hii kesi inaweza kuzalisha chochote cha manufaa zaidi ya kumtoa mshindi ambaye hata hivyo sio wote watakubali ameshinda?


Tunahitaji kuachana na hizi siasa, REAL Tunaichelewesha Tanzania bila sababu

Hazina faida!


Kama Hapa ni kazi Tu,

Zifanyike kazi physical, Sio illusions ambazo zinakula TIME!


HAMTANIELEWA!
Akuelewe nani wakati katiba zinavunjwa?nchi inaongozwa kwa matamko tangu lini?
 
Back
Top Bottom