Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 59,887
- 104,862
Huko bungeni wanaenda kufanya nini kama hawasukumi katiba, huyu kiongozi muoga ameboa sana. Anataka vitenguliwe ili wapige dili, walahi upinzani Tanzania ni upupwu sana.
CCM itazidi kuongoza tu kila uchaguzi.
Sasa ina maana tutaendelea kuwa masikini zaidi basi, maana kuongozwa na ccm ni tiketi ya kuendelea kuwa masikini kama nchi.