Waheshimiwa wakirudi watuambie kama Malela bado anatafutwa au alipatikana. Pia watujuze hali ya Vibwende na kwa Babu.
Mkuu COPPER,Malela anaendelea kutafutwa kila depo Tz nzima.
Kweli mmenikumbusha mbali sana enzi zangu za ruvu jkt enzi za mwalimu operation programe ya chama enzi za chama kimoja, ilikuwa fatiki mtindo mmoja nawakumbuka makuruta wenzangu fusi,kaburu,afande nyundo,mazani na ndabagoye pia ediwin tall na prosper mabingwa kujongo
Kweli mmenikumbusha mbali sana enzi zangu za ruvu jkt enzi za mwalimu operation programe ya chama enzi za chama kimoja, ilikuwa fatiki mtindo mmoja nawakumbuka makuruta wenzangu fusi,kaburu,afande nyundo,mazani na ndabagoye pia ediwin tall na prosper mabingwa wa kujongo
Waheshimiwa wakirudi watuambie kama Malela bado anatafutwa au alipatikana. Pia watujuze hali ya Vibwende na kwa Babu.
"Tuko na Halima Mdee, Nyambari Nyangwine, Tundu Lissu na wengine..."
Ujumbe mfupi from my young bro..naye yupo Ruvu...
Kila la heri huko...na muwe wazalendo kweli!!!
Ulikuwa COY mkuu, mimi pia nilikuwa juko OP Program ya Chama. Tulianza na CO Col. Meena rukamaliza na Lt. Col Urio. Fusi na Kaburu ni kweli walikuwa huko intake hiyo,pia Michael Wambura, Faustine Ndugulile, Steven Omari, Dr Violet Lupondo, Dr Hamis Shabani, ZCO Ahmed Msangi, RCO Camillus Wambura, Ibrahim Natepe na wengine wengi. Maafande akina Cpl. Nyundo, Ssgt. Basekana, Major Dr. Omar, Major Rugaimukamu, Major Mwakitosi, WO II Manzani, Jerome, Sgt. Sahani na wengineo wengi. Nimelikumbuka sana Jeshi.
Tuwasubiri wakirudi watakuja na lipi.
Hahahaa! Unaikumbuka G coy? Ilipewa jina Go coy. Nakumbuka ilikuwa coy ya wazamiaji, ilipigwa bogi Cheetah.