The Pen
JF-Expert Member
- Dec 31, 2010
- 755
- 261
G COY naikumbuka, wao walipigwa bogi Chita, hata mm ilikuwa nipigwe bogi hilo nikajongo. Nasikia Chita MP ni simba na chui ni kweli au vipi? Medard namkumbuka sana alitupokea F COY ikiwa combania ya mapokezi 30/6/89, alitupiga cadebra hadi saa 5 usiku ndio akatupatia chakula yaani ugali wa mchana na maharage meupe kumbuka ndio tumetoka nyumbani siku ya kwanza hatuna mess tin wala chochote na baada ya hapo akatulaza ktk vitanga bila magodoro. Hakika kuna mengi ya kusimulia kuhusu msjeshi.
Wanasema hivyo khs Cheetah k/sbb njia za usafiri ziko mbali na kambi, na ktkt ni pori nene. Medad alikuwa anapenda sana kumbua nyakati za usiku.