Kutoka kiwanda cha mafuta(podoa),Tanga

Kutoka kiwanda cha mafuta(podoa),Tanga

Mpe pole ila alisahu kuwa kama kuna watu wasiojulikana lazima kuna vitu visivyoonekana vile vile. siku nyingine asifungue asipoelekezwa.
 
Yasemekana wafanyalazi wengi wamejirusha kutoka ghorofani,na wengi hawajielewi,wanajisikia ovyo ovyo tu.
 
Inasemekana wanaume wote waliokuwa wanafanya Kazi hapo wanajisikia kama wanamimba sasaivi. Kweli haya ni maajabu
 
Itafika mahali sasa watu tunaogopa kuingia shift za usiku katika maofisi ya watu,kama mabos wenyew mabox namuna hii Mshana Jr ndo atayewafaa tu
 
Wapi MADAM T.....
Hahahaaaa ulikuwa reception nin?
For the time purukushani zinaanza.
 
Mambo mengine ni ya kujitakia... kilikua kuna haja gani ya kumpa funguo ya chumba huyo jamaa ikiwa hakutakiwa kufungua hicho chumba. Ni wapumbavu wakubwa (in pombe's voice)
 
I handle your article with care,
najiuliza maswali haya kabla nami sijakimbia:
1. Chumba kilikuwa hakifunguliwi miaka yote lakini funguo zilikuwepo miaka yote!!?? na keykeeper alikuwepo miaka yote? alizuiwa kufungua?
2. keykeeper ni owner wa kiwanda au employee?.
3. Alipoamua kufungua aliujulisha umma?
4.Alipoamua kukimbia alikuwa akitoa ujumbe gani?
3. is the keykeeper okey? upstairs?

kama hili tukio la keykeeper kukimbia ni la kweli :
1. keykeeper ni mgonjwa
2. ametumiwa kuharibu biashara Ya watu.

watanzania tuwe na kumbukumbu, mwaka Jana mwezi July to August similar staff akitokea Machinjio Ya dodoma (gazeti la mwananch na nipash waliandika ), attendant wa coldroom alidai kukuta watu ndani Ya cold room na kudai kuwa ilikuwa ni ushirikina wa manager mwenye asili Ya India, na kwamba from that point alikuwa amepofuka although alikuwa anaona, kesho yake labourers waka strike on grounds kuwa hawamtaki mhindi kesho yake wakadai huwa anatukana watanzania wote including president. mhindi alipoondolewa wasema ukweli kuwa walichochewa na mtu ili kumuondoa mhindi.

ukiona mtu akimbilia kudai kuwa anachokiona ni ushirikina uwe makini na anachotaka kitimie. pole yako mtoa mada
 
Pole yako Vasco Da Gama,
Umeunganisha dot bila stara,
 
Hao wafanyakazi wametengeneza uvumi na yawezekana kuna mgogoro na mmiliki,,, haya mauvumi mtu anasema ameona kitu mithili ya jini kana kwamba aliwahi kuliona jini. Huu ni uongo mkubwa kama illusion ya POPOBAWA, MTI UNAOLIA huko MWANZA na mengineo mengi yanayoanzishwa na wachache na kuungwa mkono na watu ambao hata eneo la tukio hawajafika
 
Wapumbavu ni wengi, hata hapa Dar kuna miaka ilidaiwa Buguruni Polisi kuna mtu kageuka chatu ! Wajinga walifunga njia waking'ang'ania wamuone mtu chatu.
 
Hao wafanyakazi wametengeneza uvumi na yawezekana kuna mgogoro na mmiliki,,, haya mauvumi mtu anasema ameona kitu mithili ya jini kana kwamba aliwahi kuliona jini. Huu ni uongo mkubwa kama illusion ya POPOBAWA, MTI UNAOLIA huko MWANZA na mengineo mengi yanayoanzishwa na wachache na kuungwa mkono na watu ambao hata eneo la tukio hawajafika
Hata Mimi najua sura ya jini japo sijawahi kutana nalo ana kwa ana.
So mkuu lisemwalo lipo kama halipo.....
 
Haya mambo yapo jaman,msikalie kubisha as if nyie mna control dark powers,
Juzi tu mbichi Fisi kaibukia UBUNGO,ukitathmini kwa umakini yule fisi si wa kawaida ila kwa akili za wabishi kama ninyi m'bishao kwenye Uzi huu mtaona kawaida tu fisi kakatiza mbaugani hadi UBUNGO damn!
 
Kumbe ndio maana watu wanaipenda babycare kwa kazi ileeeee __________________..
 
Hata Mimi najua sura ya jini japo sijawahi kutana nalo ana kwa ana.
So mkuu lisemwalo lipo kama halipo.....
Jini ni roho halina umbo kamili na linaweza ku assume umbile la kitu chochote iwe jiwe, mnyama au hata binadamu ! wewe unalifahamu jini gani?
 
I handle your article with care,
najiuliza maswali haya kabla nami sijakimbia:
1. Chumba kilikuwa hakifunguliwi miaka yote lakini funguo zilikuwepo miaka yote!!?? na keykeeper alikuwepo miaka yote? alizuiwa kufungua?
2. keykeeper ni owner wa kiwanda au employee?.
3. Alipoamua kufungua aliujulisha umma?
4.Alipoamua kukimbia alikuwa akitoa ujumbe gani?
3. is the keykeeper okey? upstairs?

kama hili tukio la keykeeper kukimbia ni la kweli :
1. keykeeper ni mgonjwa
2. ametumiwa kuharibu biashara Ya watu.

watanzania tuwe na kumbukumbu, mwaka Jana mwezi July to August similar staff akitokea Machinjio Ya dodoma (gazeti la mwananch na nipash waliandika ), attendant wa coldroom alidai kukuta watu ndani Ya cold room na kudai kuwa ilikuwa ni ushirikina wa manager mwenye asili Ya India, na kwamba from that point alikuwa amepofuka although alikuwa anaona, kesho yake labourers waka strike on grounds kuwa hawamtaki mhindi kesho yake wakadai huwa anatukana watanzania wote including president. mhindi alipoondolewa wasema ukweli kuwa walichochewa na mtu ili kumuondoa mhindi.

ukiona mtu akimbilia kudai kuwa anachokiona ni ushirikina uwe makini na anachotaka kitimie. pole yako mtoa mada
hallucinations na watu wa Tanga wanaamini sana ushirikina, tena kwa kiwango cha juu. Ngoma ya mashetani mnaijua?
 
Back
Top Bottom