Kutoka kiwanda cha mafuta(podoa),Tanga

Kutoka kiwanda cha mafuta(podoa),Tanga

Kwa sasa hicho kiwanda kinaendeshwa na mwanamke anaitwa fatema muhindi jamii ya bohora mumewe ameshafariki miaka kadhaa iliyopita
 
Ndio mkuu,ukipaka unakuwa kama mkate umepakwa mayonise[emoji3]

Kitu huwa inachana anga tu taraaaatibu huku upande wa pili ukisheherekea kwa sauti ya kukera majirani hahahahhaha dah dunia hii sijui kwa nini tunakufa..
 
Kitu huwa inachana anga tu taraaaatibu huku upande wa pili ukisheherekea kwa sauti ya kukera majirani hahahahhaha dah dunia hii sijui kwa nini tunakufa..
Mkuu Samurai ni kama sijakuelewa hivi,
Tafadhal ni vyema ukadadavua walau kidogo.
 
Back
Top Bottom