Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,079
- 9,245
Kulivua gwanda limelivua maana siwezi ushirikina wenu kila usiku hamlali kazi kuwangia watu.. naipiga vita kweli kwa sababu inapotosha watu na sio Chadema tena bali UKAWA yenye lengo la kutugawa wananchi na siamini katika separation..Kwa hiyo nisome vizuri, na uwaambie wenzako wa UKAWA wanaotaka kugawana ili wavimbe zaidi matumbo yao yasotosheka..nawasikitikia Mbowe na Slaa tu pale maana sikutegemea wanaweza kuuvaa mkenge huu lakini pengine NDIVYO WALIVYO....
Lazima wewe utakuwa mchawi 100%
Sijawahi kuwa Chadema eeeh! sawa mkuu. Na ebu nambie ni lini mimi hapa nimepingana na Mbowe zaidi ya kusema kwamba anajazwa Ujinga na kundi la wachumia tumbo. Nimeandika mengi humu kuhusu Mbowe kiasi cha kusema wazi kwamba Mbowe ni kiongozi mzuri na hata kufikia kuwafananisha yeye na Zitto.
Niliwahi sema humu Mbowe ni mwanasiasa lakini Zitto bado hajakomaa kisiasa ila anaweza kuwa kiongozi mzuri wa serikali hata Urais. na nikasema Mbowe hawezi kuwa rais kutokana na yeye mwenyewe kutokubalika kama Zitto ambavyo asingeweza kuwa mwenyekiti wa Chadema kwa sababu hakubaliki. Muulize Sikonge nani alokuwa na hoja ya kwanza kabisa humu JF kuwa Slaa agombee Urais? hadi akaiweka mada nzima juu ya kumpigia kura za ndiyo. Muuulize hata huyo Mbowe mwenyewe akwambie msimamo wangu anajua sifuati mtu wala sibabaiki...
Nachokichukia ni Chadema kutoka katika misingi iloanzishwa na kukuzwa katika malezi ya Mbowe mwenyewe akisaidiwa na Slaa na Zitto lakini toka hawa wanafiki wakubwa kuingia mule wamejiona wao ndio wajuaji kupitiliza na bila shaka wametumwa. Sii wanasiasa sii lolote ni wachumia tumbo wanaotafuta umaarufu tu na wengine sasa michavu inawatoka ndio wanajiona wao ni wao. Pambaf kabisa watu hawa ni majangili ambao sitowasamehe hata kwa nini...Na mtakuja ipata sii leo wala kesho lakini nalolisema mtakuja liona wenyewe mbeleni.
Mkuu sifuati mtu hata siku moja Zitto akijiunga na UKAWA sintomshabikia yeye wala UKAWA kwa sababu hawana lengo jema kwa wananchi unless UKAWA wenyewe wakubali kuwa kitu KIMOJA na nia moja ya kuongoza Tanzania sio kutugawa.I thought ACT wameomba kujiunga? unazungumziaje jilo? inamaana iliyemuamini zitto anakusaliti kwa kujiunga ukawa yenye malengo ya kuligawa taifa?
Mkandara utengano umekuwapo siku zote na umeendelea kuwa mkubwa baada ya Mwalimu kufariki. Mapendekezo ya iliyokuwa tume ya kabadiliko ya katiba yalikuwa kurasimisha utangano huo. Muungano wa kweli utapatikana ktk serikali tatu na si vinyinevyo kwa mujibu wa maoni ya wananchi.
Ukawa utasimamia serikali tatu na yeyote atakayetaka kujiunga awe tayari kukubaliana na hilo.
Mkandara utengano umekuwapo siku zote na umeendelea kuwa mkubwa baada ya Mwalimu kufariki. Mapendekezo ya iliyokuwa tume ya kabadiliko ya katiba yalikuwa kurasimisha utangano huo. Muungano wa kweli utapatikana ktk serikali tatu na si vinyinevyo kwa mujibu wa maoni ya wananchi.
Ukawa utasimamia serikali tatu na yeyote atakayetaka kujiunga awe tayari kukubaliana na hilo.
Ulivovisema vyote haviwezekaniIndependent-mind;
Mbona jina zuri saana hili halafu linakuwa ka limewekwa juu ya mti mchafu?? Kwenye kichwa chenyu mmejaa mawazo ya mgombea urais tuuu baasi.
Tunajua kuwa hata angetokea LND au NLD bado kubeza kwenyu kungekuwepo tu. Sawa jamani. Tunachokisema, si mabezo yenu yataacha kumchagua wa kupeperusha bendera ya UKAWA kama atatimiza masharti tuliyo kubaliana.
Mtanzania litangoja saana kitu cha kutusambaratisha nacho lakini halitakipata. Unaonaje, tukikubaliana kwamba, chama kitakachotoa mgombea urais kisiwe na majority ya wagombea ubunge, nyiye mkabaki kuangalia urais tukapeta kwa wabunge si hilo nalo ni bao??
Endeleeni na utoto wenyu, huku mwaliwaaaa:boxing::boxing:
Unayemshabikia usiku na mchana kuliko hata wazazi wako unavyowapenda, Ni MCHAWI wa wachawi, Mganga wake wa kwanza yupo Bariadi Gamboshi, na mganga wa pili yupo Mwandiga Kigoma.
Huyo jamaa ukimtibua anaua mpaka panya na mijusi yote ndani ya nyumba yako.
Aisee! Kumbe hadi Raia Mwema nao wamenunuliwa na CCM?
- hahahahahahaha so unakubali kwamba huko Upinzani mmejaa wachawi maana wewe ulijuaje haya yote kama na wewe sio mchawi mnatisha sana duh!!
Le Mutuz
Unapoteza mda wako mwingi sana, usiwe unafungua ila pitiliza tu
Aisee! Kumbe hadi Raia Mwema nao wamenunuliwa na CCM?
- hahahahahahaha so unakubali kwamba huko Upinzani mmejaa wachawi maana wewe ulijuaje haya yote kama na wewe sio mchawi mnatisha sana duh!!
Le Mutuz