Kutoka Kigoma kaskazini

Kutoka Kigoma kaskazini

KAMSIGE

Member
Joined
Jun 1, 2013
Posts
13
Reaction score
12
wapiga kura wa ZZK tunamshukuru Mungu kwa yote yaliyotokea kwa Mbunge wetu na haya yote tunasema yamekuja kwa wakati kwan huyu jamaa ana ndimi nyingi zinazomfanya kutoaminika mbele ya jamii.Jamaa ana mchango mdogo mdogo sana ktk chama na ndio maana jimbo lake mpaka leo lina diwan mmoja tu wa CDM.kwa majanga anayoyafanya mtu huyu cc tunakaribisha uchaguzi mpya na kamwe z hatumtaki kwanza ameshamuachia Mr Piter serukamba jimbo na ameshaanza kujinadi.NB:Ungewajari wapiga kura wako hakika leo hii tungekupokea kama Mfalme ila kwa kuwa ulijifanya mbunge wa Taifa, basi Taifa likupokee(RIP ZZK)
 
safi saaana!!
na nimetoka kusema kigoma ni ya wajanja muda si mrefu kwenye baadhi ya thread humu.

huyu jamaa atakufa na tai yake shingoni kama yalivyomkuta kabouru.

sasa hayo yameaanza kufumka.
twende kazi kamsige kwa habari zaidi.
 
hoja dhaifu kama hizi zinadhihirisha jinsi cdm ilivyo filisika. Bado sana kuwa na upinzani imara tanzania.
 
Utabiri wa majina ya zito-
awali 'zito' =hoja nzito
sasa 'zito' = mzigo mzito
awali 'kabwe' mtetezi wa makabwela
sasa 'kabwe' = atageuka kuwa kabwela kimaisha.

Onyo- usiisaliti jamii kwa kuwa kibaraka, ajiulize mtungirehi yuko wapi?
 
Baada ya kustukia Njama za Kumuua na kuomba Ulinzi,
Baada ya kustukia Njama za kutafuna Ruzuku na kuomba Ukaguzi,
Baada ya kustukia njama za kumchafua kwenye Mtandao na kuomba Ufafanuzi kwa Katibu Mkuu,
Baada ya kuanza kujipanga kwa Uchaguzi Mkuu wa Chama ili afichue kipengele kilichong'olewa cha ukomo wa Uongozi,
Baada ya kustukia njama za kutaka kumfanyia Fujo ndani ya Mkutano Wa Baraza kuu na kuamua Kuingia na Walinzi binafsi wanne
hatimae Chadema Tawi la Freeman Mbowe limeamua kumfukuza na kumvua Nyadhifa zote Zitto Zubeir Kabwe
 
siku zote sikuwahi kuona uwezo wa zito ktk kuamua na kufanya mambo, nimekuwa nikimwona kama mtoto anahitaji msaada wa kufundishwa hekima na busara, nimemwona zito akipenda sifa za kitoto zaidi, nimemwona Zito kama mtoto mwenye tamaa zaidi ya madaraka siku nyingine niliwaza nikasema ya wezekana ana undugu na Lowasa maana kama kungekuwa na kipimo cha kupima watu wenye tamaa zaidi duniani ya MADARAKA basi hawa wawili wangeongoza.
 
Wewe unaishi Kigoma ya Arusha! Kwa taarifa yako Zitto kwa Kigoma ni shujaa! Anauhakika wa kuupata ubunge akigombea kwa chama chochote kile na kwa jimbo lolote lile!
Wewe endelea kuota ndoto za kujifariji tu! Subirini reactions za wapiga kura ndio mtautambua umuhimu wa Zitto ndani ya hicho chama cha waarusha na wachaga!
 
Wamesahau kauli ya sisimizi kukanyagwa na tembo? tembo (slaa) akakanyagwa na sisimizi(kafulila),RIP CDM NA MTEI NA MKWE WAKO.
 
Baada ya kustukia Njama za Kumuua na kuomba Ulinzi,
Baada ya kustukia Njama za kutafuna Ruzuku na kuomba Ukaguzi,
Baada ya kustukia njama za kumchafua kwenye Mtandao na kuomba Ufafanuzi kwa Katibu Mkuu,
Baada ya kuanza kujipanga kwa Uchaguzi Mkuu wa Chama ili afichue kipengele kilichong'olewa cha ukomo wa Uongozi,
Baada ya kustukia njama za kutaka kumfanyia Fujo ndani ya Mkutano Wa Baraza kuu na kuamua Kuingia na Walinzi binafsi wanne
hatimae Chadema Tawi la Freeman Mbowe limeamua kumfukuza na kumvua Nyadhifa zote Zitto Zubeir Kabwe

SALOME
Pole kwa kipondo. Nenda kwake ukamliwaze. Nani amfanyie mtu fujo kwenye mkutano wa CC. Hivi weye akili uliisahau pale msalani ulipoingia leo asubuhi? Kwa nini unaona kama CDM ni watu wa fujo? Nani huyo aliyekuloga? CDM ndiyo chama pekee cha upinzani wa kweli. Mti wenye embe ndiyo unaujua utamu wa kupigwa mawe. Hatuogopeshwi na tungo zako za kitoto tunajua moja tu. Nyoka hafai kuweka awe pambo la chumbani. Hata kama kammeza chura, haaminiki kamwe hivyo ZZK ni nyoka tena SAWAKA. Haaminiki hata kwa kijiti
 
Mbona CDM imechelewa kumtimua huyu Zito?
Chadema msijidanganye mmepoteza mtu muhimu kuliko mnavyodhania.wacheni ubaguzi mnauwa chama kwamtindo huo wananchi tunaondoka imani na nyinyi afadhali ya ccm kwa mtindo huo
 
Nyie vibaraka wa ccm mpokeeni huyo zito na mhakikishe mnampatia UWENYEKITI ndani ya chama chenu cha wezi wa rasilimali zetu. Cdm ni bora kuliko ZZK
 
hoja dhaifu kama hizi zinadhihirisha jinsi cdm ilivyo filisika. Baeo sana kuwa na upinzani imara tanzania.

MKUU watu wenye hoja za ushawishi wote wanaondoka CDM wamebaki watoto form four za mulugo pamoja na degree za madesa! Usishangae kuziona hizi hoja za ajabu ajabu zinazoletwa na matusi mengi! Wame-recruit vilaza wengi sana!
 
Wewe unaishi Kigoma ya Arusha! Kwa taarifa yako Zitto kwa Kigoma ni shujaa! Anauhakika wa kuupata ubunge akigombea kwa chama chochote kile na kwa jimbo lolote lile!
Wewe endelea kuota ndoto za kujifariji tu! Subirini reactions za wapiga kura ndio mtautambua umuhimu wa Zitto ndani ya hicho chama cha waarusha na wachaga!

Kati ya mwaka 2005 na 2010 kipindi gani alipata kura nyingi zaidi
 
Back
Top Bottom