Vitua ambavyo nilikuwa navikumbuka km hiviKaribu.
Yaliyopo mezani.
1. Yule mchumba wako wa humu alishakwatuliwa na wahuni
2. Praise team wengi wamebadilisha Id zao.
3. Kuna warembo wapya wana run jukwaa la MMU
4. Ukipata manzi mpya hakikisha unamkagua marinda.
5. la mwisho lakini sio least Waheshimu wote utakaokutana nao
Gross misconduct....!!!!Ulikosea nini hadi ukafungiwa muda wote huo?
Shukrani kwa kukupa furaha na pole sana kwa vifungo virefu.... Unaweza kuvunja rekodi ya kahtaanHabarini waungwana,
Napenda kuwashukuru walionifungia tangu 2017 na kufunguliwa 2018 February kisha kufungiwa hadi leo kuweza kuandika chochote hapa jukwaani.
Kiukweli nilishi km nipo nyikani japo nilikuwa nacheka na kupata ushauri wenu bila hata kupata nafasi ya kuchagia chochote.
Kiujumla siwezi kulala bila kutembelea kukwani na nionapo amka kupitia baadhi ya mabandiko.
Hawa watu nikuwa nacheka hata bila kusoma walicho andika mkuu Mshana Jr, Bujibuji, demis, Gudume mzee wa familia ya Usalama wa taifa.(Pascal mayala) miss Natafuta.
Kiujumla nilikumbuka mengi jukwaani
Gross misconduct....!!!!
Hata sitamani tena hiyo kituUnaweza kutupia tena kisa kilichokupa hiyo bani ya muda mrefu hivo, kwa ukumbusho wa maktaba
Usitafute habari za walio lala majutoLoh!
Nimewish kujua exactly kitu chenyewe