Siri yangu
JF-Expert Member
- Jul 22, 2023
- 1,847
- 3,746
Wakuu nipo safarini napita njia hii morogoro road kutoka kibaha mpaka Ruvu darajani hapaeleweki na hili sio leo imekuwa sugu wenye mamlaka mtuambie shida ni nini?
Hata mkituambia ni wingi wa malori bado siwezi kuamini kama ni kweli Trafic kila baada ya hatua kumi wanafanya nini wananchi tunateseka namna hii?
Hata mkituambia ni wingi wa malori bado siwezi kuamini kama ni kweli Trafic kila baada ya hatua kumi wanafanya nini wananchi tunateseka namna hii?