Kutoka katika kikao cha mabachelor

0ozg Tz

JF-Expert Member
Feb 28, 2016
4,159
11,100
Baada ya kuona kuwa wakina dada wamejiwekea vigezo vya kumkubalia mwanaume Wa kumuoa ni mpaka mwanaume awe na pesa za shopping, kula vizuri,kutengeneza nywele kucha kope na kuwa na gari,nyumba pia na mengine mengi mazuri mazuri yanayohitaji pesa.

Sisi kama mabachelor ambao tupo na mpango Wa kuoa na sisi tumeamua kuweka vigezo ambavyo mdada anatakiwa kuwa navyo ili kupata bwana Wa kumuoa.

Kigezo kikubwa tulichokijadili Leo:Tutaanza kuwaomba vyeti vya form four wanawake ambao tutahitaji kuwaoa.Cheti kinatakiwa kuwa na atleast C mbili za masomo ya sayansi.Tunahitaji kupata watoto wenye uwezo Wa kusoma masomo ya sayansi ili tuendane na kasi ya serikali ya v-wonder.
 
d4064da8ab0c345f77149e70bd3c46c3.jpg
 
Back
Top Bottom