Kutoka Chato: Rais Magufuli amwapisha Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Kwanini Mbuzi, papai, fenesi na Kware wawe na Corona?

Of what benefit? Is this news worth paying attention to? What is strange with kuapisha? Of what exceptional leadership value Mwigulu is to arouse people's attention? Ndio maana tunasema hakuna mwandishi wa habari and I do not have a good term to describe you so-called waandishi wa habari. Mwandishi wa habari unasema Ikulu ya Chato? Does Ikulu ya Chato exist? This is a clear indication we run short of waandishi wa habari! Nisamehe Pascal kama hutapenda..
Pascal inabidi asaidiwe maana ya Ikulu! Akumbuke enzi za Mwalimu alipokuwa nyumbani kwake Butiama ama Msasani hakukuwahi kutaumkwa Ikulu ya Butiama wala Ikulu ya Msasani, turudi kwenye weredi wetu pia rejea definition ya State House

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pascal Mayalla . Nini maana ya Ikulu ndogo? Kwa akili yangu nilizoea kusikia Ikulu ndogo Chamwino zama zile. Ila sijawahi kusikia Ikulu ndogo Masasi ama Ikulu ndogo Msoga! Na nini kigezo cha kuifanya Chato iwe Ikulu ndogo na je kuna bajeti imeshatengwa kuhudumia Ikulu ndogo ya Chato?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tusihusishe Corona na uchumi wa nchi!.
Rais Magufuli awathibitishia watumishi wote wa umma, wataendelea kulipwa mishahara yao kamili hadi tatizo liishe.
P
Unawalipa mshahara watu ambao hata hawajui kesho nini kitatokea...watu wametelekezwa.
Fedha ni nini mbele ya uhai..Italy watu wametupa hela mtaani...hela is nothing but kupumua ndio priority
Bye.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni mwanasayani ninajua ninachokizungumza.
Tusitishane!.
Wanasiasa msiitumie Corona kujitafutia mtaji wa kisiasa.
P
 
Tweet ya Gerson ilisema kuanzia Saa 4:15, saa yenyewe ndio hii, bado live ya Ikulu ya Chato haijaanza ila itaanza very soon!.
P
Soma hiyo

95311903_886322078518792_2436180022453304938_n.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana kuna kitu kimegundulika nyuma ya Ugonjwa huu, tuwe makini sana.
Kama wamechunguza, kuna uwezekano wa mengi kutokusemwa wazi na shirika la afya dunia.
Kama ilivyoaminika Iran, China na Marekani katika utafiti wao wa Kijasusi, vipi hapa ?
 
Back
Top Bottom