Kutoka bungeni: Uchaguzi wa wabunge wa Afrika Mashariki

quote_icon.png
By Mnyama Hatari

Hahahaaa Ngabu hana vyeti bana. Ngabu yeye ni boksi mwanzo mwisho lakini hata hao wenye vi festi klasi vyao vya UDSM anakimbiza.

Ngabu is a beast.


Sio beast ni best, umesoma st Kayumba nini?

Nina wasiwasi wewe ndio umesoma St KAyumba, nadhani amemaanisha vinginevo sio unavotaka wewe
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Kapewa muda mreefu wa kuomba kura. Lakini Kajieleza vizuri sana. Wish him luck!

He was very nervous and could not express himself well; all said the competition is very fierce and Le Mutu's chances of winning are very slim!!
 
Sio beast ni best, umesoma st Kayumba nini?

Mimi sijasoma popote bana.

Ila kwa watu kama nyinyi huwa nakimbiza mbaya sana.

Sasa cheki hapa kamusi ya Merriam-Webster inavyofasili neno "beast". Na nilimaanisha "beast". Sikumaanisha "best".

Hahahaaaaa sijasoma lakini nawakimbiza nyie watu wa vispesho skuli vyenu na ki UDSM chenu. Tupa huko...

[count]
1 old-fashioned : an animal
▪ dogs and other four-footed beasts ▪ wild beasts ▪ the birds and beasts of the forest ▪ a conflict between man and beast [=between human beings and animals] ; especially : a wild animal that is large, dangerous, or unusual
▪ They were attacked by a savage beast. ▪ a story about a mythical/imaginary beast [=creature] with two heads

2 old-fashioned : an unkind or cruel person
▪ He's a cruel, hateful beast! ▪ her beast of a husband [=her husband who is a beast]

3 informal : a person or thing of a particular kind
▪ Reading modern English is one thing, but understanding Shakespeare is an entirely different beast. [=is an entirely different thing; is entirely different] ▪ a powerful political beast [=a powerful politician]

Sasa mimi nilimaanisha hilo ingizo la 3.
 
quote_icon.png
By Mnyama Hatari

Hahahaaa Ngabu hana vyeti bana. Ngabu yeye ni boksi mwanzo mwisho lakini hata hao wenye vi festi klasi vyao vya UDSM anakimbiza.

Ngabu is a beast.




Nina wasiwasi wewe ndio umesoma St KAyumba, nadhani amemaanisha vinginevo sio unavotaka wewe

Hahahaaaaa mi si msomi lakini wasomi uchwara huwa nawakimbiza sana. Sasa jamaa yeye hapo kaona kanikamata kumbe holaaa!
 
Chema chajiuza hata mmtetee vp malecela hamna ki2. Mnaweza kumlinganisha na makongoro,mwinyi,au bilal? Tusiwe vpofu watz "mcna chinhu kwa mzhelelo yulya wawaha. Yena du muwili muwaha ninga mahala msina bwete"
 
Swali la profesa kahigi la language litampa promo....bora asingeuliza

Mkuu Ben, Heshima mbele, Lengo la maswali si kumbomoa mgombea bali ni kutafuta kujua yale anayoyafahamu. Hivyo maswali humjenga mhusika hasa pale anapoyapatia. Hivo swali la Prof kahigi lipo sawa na kwa muda muafaka.
 
Naona William alijiandaa kupitiliza na ikamkosesha confidence halafu sidhani anachokiongea ndio anachokiamini, angekuwa anaamini katika anachosimamia asingepata kihoro, basi aendelee kujijenga na asiwe na pupa
 
Back
Top Bottom