Hoja ya Serikali za Majimbo ni hoja nzito ambayo iliwatesa sana CCM kwenye ule uchaguzi mkuu wa 2005. Walipoona hawana counter arguments dhidi ya hoja hiyo wakaingiza hoja ya kuwa itasababisha ukabila nchini. Leo baada ya miaka saba, Mbowe anawarejesha kwenye hoja hiyo hiyo ili kudhibiti Ufisadi under Centralized Government. Tuendelee kuwabana!
Nilijua umekwisha jiuzulu!Mnyika na wenzake wote wametoka nje ya mada! Thanx Anne kwa kuwarekibisha!
Nimemsikia na kumuona
'live' Sp (of cause kwenye Tv) akitamka kutoka mdomoni mwake kwa Mbowe kuwa, "JAMBAZI Lako" aki-refer Mh J Mnyika! pamoja na kuwa 'aliipotezea' lkn kwa hakika kimtokacho mtu ndicho alichonacho moyoni/nafsini/rohoni/utu wa ndani etc(you name it; soma Gal5:19) najua hawataiingiza kwenye 'hansaard' lkn masikioni mwetu na machoni imeingia! Ushauri Tundu Lisu/Mnyika/Nasari makamanda wetu omba muongozo ili hata kama ataipotezea lkn utu wake wa ndani utatolewa nje hadharani(kumb29:29) Mungu katufunulia kuliko kumezea kwani ndiyo njia pekee kwa sasa itayowapa watu uhalisia wa hawa watu
Haki ya Mungu hawa ndo wabunge mapoyoyo, kwa hiyo yeye aliunga mkono bajeti ili apate favour? Yaani hii nchi burudani kila mahali. Unaweza kutamani ulie au ucheke. Yaani huelewi ufanye nini ili kuwasilisha hisia zako.Mbunge kutoka Tanga anaponda ati aliunga Bajeti ya Nishati na Madini mkono kwa asilimia 100 leo hata waziri akimpigia simu hapokei.
SO FAR:
PM bado hajawasili
Hahahah, Stephen Ngonyani anajidai kuwa na machungu hadi anataka kulia, kisa, umeme hakuna jimbon kwake, wabunge wengne wanamwambia liaa.
Mbunge kutoka Tanga anaponda ati aliunga Bajeti ya Nishati na Madini mkono kwa asilimia 100 leo hata waziri akimpigia simu hapokei.
SO FAR:
PM bado hajawasili
Ni wabunge kama huyu ambao wanatupeleka kubaya. Ina maana yeye aliunga mkono budget kama ushikaji bila kuzingatia ubora wa budget na sasa anampigia simu waziri kama mshikaji!Mbunge kutoka Tanga anaponda ati aliunga Bajeti ya Nishati na Madini mkono kwa asilimia 100 leo hata waziri akimpigia simu hapokei.
SO FAR:
PM bado hajawasili