Kutoka Bungeni - Jumamosi 21, Aprili 2012 (Videos)

Mbunge: Mawaziri kama VASCO DA GAMA
TOKYO....LONDON...WASHNGTON....NICARAGUA....TOKYO LONDON
Ukiwauliza umeleta nini ni PERFUM ya mama watoto

Kazi ya kusafiri ni ya Membe tu hawa wengine mbona hawatulii...TUUNDE TUME YA KUFUATILIA MAAMUZI YA BUNGE. Huu mchezo sasa na hatuwezi kuwa serious kama hatufanyi tunayoazimia

ZINAPIGWA TAARIFA

Kuwa Mbunge aliyepita kaongopa kwa kusema Kilimanjaro hakuna Tatizo la Umeme na kwa nini Tanga


JEMBE ZITO

Linashabikiwa kiaina licha ya kuwa column ndogo kilie kifijo hakinogi sana
 
Kabwe ZITTO on the stage anazungumzia kamati ya fedha na nishati?
 
ZITTO: Nitajikita zaidi kamadi za Fedha na Nishati na Madini muda ukiniruhusu nitachangia pia taarifa ya kamati ya mambo ya nje
 
kuna ujumbe umetumwa kwa waziri mkuu toka kwa rais alfajiri ya leo na hivyo kuharibu taarifa nzima iliyopangwa kutolewa....

Kama mchezo ndio huo badala ya kumlinda Kikwete sasa tutamlinda Waziri Mkuu Pinda na Zito kura ziwe za kutokuwa na Imani na Rais Kikwete.
 
mawazir wanaenda nje hakuna lolote wanalotuletea zaid ya kuja na perfyum za mama watoto zao,mawazr wamekuwa vasco dagama

Teh teh teh, nimeipenda hiyo. Halafu inasemekana zingine huwa haziwavutii wake zao hivyo wanapewa mahouse galz au zinatupwa!
 
Kama wafanya ushenzi wa kutudanganya tena na kutochukua hatua yoyote kwa hawa watuhumiwa itakuwa ni kutuona Watanzania wote hatuna akili. Something must be done today not even next week. Come on!!
 
Mnyika na wenzake wote wametoka nje ya mada! Thanx Anne kwa kuwarekibisha!

Ili kurekibishana, unasema na yeye Anne atapotoka nje ya msitari apigwe kibao au apewe tusi? Nasubiri siku hiyo ambapo ngumi na matusi vitatembea Bungeni, maana mpaka sasa hivi bunge linaendeshwa kwa adabu utafikiri ni Bunge la chama kimoja.
 
Zitto: leseni ya Mgodi wa North Mara imeisha tuhakikishe mgodi huo unaingia kwenye sheria mpya na mikataba mipya ili kuongeza mapato
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom