Kutoka Bungeni - Jumamosi 21, Aprili 2012 (Videos)

wakiongea wabunge wa magamba utapata shida kuelewa uwezo wa elimu na pia alichaguliwaje kuwa mbunge!kila mara pongezi yamekuwa mapambio ya kila mbunge magamba,kampongeza walipkutana jimboni kaona haitoshi namtaja tena bungeni.hapo tugemee nini kwa wabunge zaifu kama hao,pana kazi maendeleo ni ndoto kwa utawala wa ccm.imekuwa kama bendi za muziki kila wimbo unatajwa kisa mia ulizomtunza.jamani hizi taarabu bungen zitaisha lini?
 
Kumbe ni wa mfindi? Alivyoanza tu kuongea nikajua hamna kitu nikazama bafuni kuoga na kupiga mswaki.
 
Soon Mawaziri wanne watasimama baada ya kukamilika kwa Wabunge wa nne kila mmoja kwa dakika kumi kumi na hawa ni wale ambao mjadala wa kamati hizi uligusa pia wizara zao

UJENZI
MAMBO YA NJE
UCHUKUZI NA MWASILIANO
NISHATI NA MADINI
OFISI YA RAIS UTAWALA BORA
 
Da kwa kwel maisha mazuri kwa kila kiongoz wa mrengo wa ccm, but their dayz are numbered. Mtanzania ni tajiri ila analazimishwa kuwa fukara. Revolution z near .
 
UPDATES: HOFU YANGU YA KUTOWAONA WABUNGE ILIKUWA SAHIHI

PM anamjadala Mkali tena, Sitashangaa Maamuzi haya yakachakachuliwa Vibaya na zikazuka Hadithi mpya kabisa ambazo zitasononesha Vibaya mioyo ya Watanzania waliokwishajawa na dukuduku la kujua hatima ya Mawaziri wanaotuhumiwa kwa kutafuna mali ya UMMA na kukosa uwajibikaji.

Tunasaka DETAILS ZAIDI
 
Bi kidude kama hafahamu kuwa WAMA ni taasisi ya kiserikali au ya kibinafsi au ni NGO anataka nani afahamu hayo kama sio yeye.aliyeko karibu na serikali. Anabaka kanuni za bunge kwa kujifanya anjua sana. Kiboko yake ni Antipas Tundu Lisu.
 
Mbunge mmoja kutoka Kagera analalama kuwa alichukua mkopo kwa kiwewe wakati bado ana hangover ya Kampeni ana hofu atajikuta analipa mabilioni baada ya kugundua Riba ni kubwa mno, ha ha wabungeeee
 
Spika SEMAMBA amemwita Mnyika JAMBAZI. Kamwambia mbowe "ulikuwa umepitwa ila shukuru muongozo wa huyu JAMBAZI wako (Mnyika) umekuokoa"

Mimi nilifikiri sikusikia sawasawa. Hii inadhihirisha wanatishika sana na timu ya CDM
 
UPDATES: HOFU YANGU YA KUTOWAONA WABUNGE ILIKUWA SAHIHI

PM anamjadala Mkali tena, Sitashangaa Maamuzi haya yakachakachuliwa Vibaya na zikazuka Hadithi mpya kabisa ambazo zitasononesha Vibaya mioyo ya Watanzania waliokwishajawa na dukuduku la kujua hatima ya Mawaziri wanaotuhumiwa kwa kutafuna mali ya UMMA na kukosa uwajibikaji.

Tunasaka DETAILS ZAIDI

Ina maana PM ana kikao tena na wabunge wa CCM? Ikiwa hivyo wabunge wa CCM wamekwenda kufanya mikutano ya chama au kuhudhuria bunge?
 
UPDATES: HOFU YANGU YA KUTOWAONA WABUNGE ILIKUWA SAHIHI

PM anamjadala Mkali tena, Sitashangaa Maamuzi haya yakachakachuliwa Vibaya na zikazuka Hadithi mpya kabisa ambazo zitasononesha Vibaya mioyo ya Watanzania waliokwishajawa na dukuduku la kujua hatima ya Mawaziri wanaotuhumiwa kwa kutafuna mali ya UMMA na kukosa uwajibikaji.

Tunasaka DETAILS ZAIDI

kuna ujumbe umetumwa kwa waziri mkuu toka kwa rais alfajiri ya leo na hivyo kuharibu taarifa nzima iliyopangwa kutolewa....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom