Kutoka bungeni: Jimbo la Mtera limekosa mbunge!

NCHI HII UKIWA UKO SERIOUS MUDA WOTE UNAWEZA KUFA KWA PRESSURE AU STRESS, BORA MAISHA UYACHUKULIE KAMA MAMBO YA MZAHA TU.
mkuu umeona huwezi kuyachukulia kimzaa eeeeh JARIBU MKUU utaweza kuchukulia kimzaa lazima kwanza uwe taahila!
 
Mimi siku hizi naanganlia bunge kama kipindi cha ze comedi si vinginevyo.
 
Wakuu, mimi kwa mara ya kwanza leo ndio namsikia mbunge wa mtera bungeni akichangia mada, sasa najiulize hivi watu wa mtera wamemkosea nini mungu?

Huyu kilaza kwanza inaonekana wazi hajui kama yupo bungeni, anasema mtera walikuwa na gari lao, kuna padri akaja na gari dogo mama mmoja akaanza kupiga vigeregere kwamba gari lao limezaa, na alivyochungulia uvunguni akaona exaust basi akasema na mtoto wenyewe ni wakiume.
Sasa wanajmvi hivi tujiulize hivi hawa kina mama wa Mtera ni washamba kiasi gani mpaka wafanishe exausti na UUME?

Licha ya uharo mwingi alioongea kama desturi ya wabunge wa CCM cha kushangaza baada ya kumaliza mchango wake, mwenyekiti akampongeza kwa hotuba nzuri!

Na ikumbukwe kabla Makinda hajamwachia mwenyekiti kiti cha kuongoza mjadala aliwaonya wabunge kuangalia hadhi zao kwani wananchi hawapendi kuangalia wabunge ambao ni comedians & jockers.

Sasa ndio linapokuja swali langu je! wananchi wa mtera wamemkosea nini mungu?

Naomba kutoa hoja, @ New York, unakaribishwa vilevile, tujue msimamo wako kwenye hili.

Mkuu umeleta mada tuchangie au umeweka mtego na kumtaka jamaa wa NY ajibu ? Yeye yuko NY hayuko Mtera na hakai Mtera na hatakaa Mtera siku za usoni kweli anaweza kujua juu ya huyu Kilaza?.Tatizo si watu wa Mtera shida ni CCM ndiyo hivyo walivyo wote na huyo mama ni mpiga kura wan huyo mbunge unategemea nini ?
 
Huu ndio upeo wako, nina uhakika huoni zaidi ya urefu wa pua yako, pole sana,........mimi nina ID mingi sana huwa sifikirii swala la ban.



wewe ndo akili zako ziko hivyo...nini kimekufanya uka edit???!!! nakuuliza ni nin kimekufanya ukaedit...si ungeliacha hilo neno...tatizo umeandika kwa hasira then baada ya kutulia ukagundua umefanya kosa ndo ukaedit.....inaonesha jins ngani ulivyo sanguine!!!!

thionk beyond the next meal meeen!!
 
wewe ndo akili zako ziko hivyo...nini kimekufanya uka edit???!!! nakuuliza ni nin kimekufanya ukaedit...si ungeliacha hilo neno...tatizo umeandika kwa hasira then baada ya kutulia ukagundua umefanya kosa ndo ukaedit.....inaonesha jins ngani ulivyo sanguine!!!!

thionk beyond the next meal meeen!!

JF sio sehemu ya kuja kumalizia hasira zako za kukosa pesa, kama una njaa kaa pembeni, inaonekana wewe ulivyomshamba hata haujui kazi ya moderators ni nini, kwa akili yako ndogo unadhani kazi ya moderators ni kuwapa watu ban,........ kwa taarifa yako sio mimi niliyeedit hata wewe ungeedit kwa sababu nilitoa ruhusa hiyo.
By the way wewe si mtu wa viwango vyangu, siwezi kufanya Argument na mtu ambaye hajitambui. moderators wanaweza kuedit thread yoyote ile au kuifuta au kuamisha jukwaaa.
HAahahahhahahahah! tafuta watoto wenzio hapa sio facebook, sipo hapa kutafuta marafiki. got it!?
 
Mie nakumbuka alianza kwa kutoa sifa kwa Dr. Slaa kwa vile ameingia katika kitabu cha watz waliowahi kugombea URAIS wakagaragazwa!
 
NCHI HII UKIWA UKO SERIOUS MUDA WOTE UNAWEZA KUFA KWA PRESSURE AU STRESS, BORA MAISHA UYACHUKULIE KAMA MAMBO YA MZAHA TU.:focus:
 
Mie nakumbuka alianza kwa kutoa sifa kwa Dr. Slaa kwa vile ameingia katika kitabu cha watz waliowahi kugombea URAIS wakagaragazwa!

Kuna wakati ukiangalia bunge la kina Bambo kwenye comedy linaonekana ni bunge halisi kuliko wabunge vilaza kama huyu Lusinde wa huko Mtera.
Ameongea porojo nyingi ambazo huitaji kumpima akili zake, yaani kwa kifupi akili zake zinajuwa tu size ya suruali ya kiuno chake ni size ngapi.
 
La maana katika thread hii ni kujadili umahili wa wabunge wetu kuchangia katika kikao/bunge hili muhimu. Mbunge wa Mtera alianza na sarcasms za watani pamoja na bla bla nyingine. Tatizo la baadhi ya wabunge wa CCM wanaacha kuwa focussed katika mijadala. Kwa kiasi hii inaweza kusababishwa na HAND BRAKE na maagizo ya chama chao kutetea tu chochote. Hivyo mtu hata kama hana la kuzungumza anajitosa ili waliomchagua wamsikie au apige siasa tu. Kipindi cha uchangiaji asubuhi ya leo (20/06/2011) unaonesha wachangiaji wa CDM walikuwa more focussed kuliko upande chama tawala. KIMESHAPIKWA LAZIMA KILIWE TU!!!!! - Kweli tutafika!!!!!!
 
Huyo jamaa si ndiye yule aliyesema bungeni kuwa iko siku watafunga milango wapigane?! Mi simshangai kwa hayo ya leo.
 
Afu hiyo Issue ya Gari na Exos anaihusisha na Maendeleo!!Yaani yule Bibi aliyemtumia kama mfano na maendeleo kuna uhusiano gani hapo! like Father(Mzee wa Kaya) like son kwamba Foleni Dar ni maendeleo watu wamepata ela wamenunua Magari.Hii ndo Magamba zaidi ya uijuavyo.
 
Kaona hakuna spika bungeni + keshachukua posho yake unafikiri wats next zaidi ya kushusha 'uharo' na kusepa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom