Kutoka bungeni: Jimbo la Mtera limekosa mbunge!

1. Eti kama vipi tuzichape bungeni.......bla bla bla......
2. Eti Kikwete ni mpole na anawavumilia wapinzani wakati ni mwanajeshi ......bla bla bla....

bora Malecela.........kuliko huyu!

pumba zampumbaza,,,,nasikitika kuwa nayeye ni miongoni ya wawakilishi wa nchi hii!!!!
 
Ni mbunge kijana, nakusema kweli nimependa mno namna yake ya uwasilishaji wa hoja. Anatoa mifano dhahiri na anajiamini. Hakika miongoni mwa vijana wachache wa Taifa hili ambao Taifa linaweza kujivunia kuwa nao ni Livingstone Lusinde. Ni hazina kubwa iliyokuwa imejificha. Ni hazina kubwa kwa chama chake na taifa letu.

Ni mfano wa vijana wachache wenye uwezo wa kujenga na kutetea hoja yake. Kumbe bado Taifa lina vijana waalendo kama Freeman Mbowe, Livingstone Lusinde, Julius Mtatiro, Kabwe Zitto n.k
acha upuuuzi wewe kuwa mkubwa sometimes unahitaji kutoa mchango kwenye familia sa ka kila wakati unachapa pumba haaaya
 
pia huwezi kumfananisha livingstone lusinde nahuyo tapeli wenu mkubwa anaeweka madanguro watu wanauza miiliyao hivi huyu mbowwwewe nani asiemjua uoza wake?

kwani mabilioni aliyokopa NSSF ni utapeli? si atazirudisha? kwani billcanas wanaruhusu kuuza miili yao? si kiherehere chao tu? wewe mtu huru ni mtu safi na shujaa wa taifa hili huwezi kumlinganisha na lusinde...bwaha hahaha
 
Alikosea wapi Mhe Lusinde?? Aliyoyaongea ni haya:-
1. Aliongelea suala la elimu
2. Aligusia suala la amani na utulivu
3. Aliongelea suala la kilimo

Tatizo li wapi?? Jamani ushabiki acheni.
Yafafanue hayo aliyoyaongea utakumbana na contradiction particularly item 2 in your list.
 
Wakuu, mimi kwa mara ya kwanza leo ndio namsikia mbunge wa mtera bungeni akichangia mada, sasa najiulize hivi watu wa mtera wamemkosea nini mungu?

Huyu kilaza kwanza inaonekana wazi hajui kama yupo bungeni, anasema mtera walikuwa na gari lao, kuna padri akaja na gari dogo mama mmoja akaanza kupiga vigeregere kwamba gari lao limezaa, na alivyochungulia uvunguni akaona exaust basi akasema na mtoto wenyewe ni wakiume.
Sasa wanajmvi hivi tujiulize hivi hawa kina mama wa Mtera ni washamba kiasi gani mpaka wafanishe exausti na UUME?

Licha ya uharo mwingi alioongea kama desturi ya wabunge wa CCM cha kushangaza baada ya kumaliza mchango wake, mwenyekiti akampongeza kwa hotuba nzuri!

Na ikumbukwe kabla Makinda hajamwachia mwenyekiti kiti cha kuongoza mjadala aliwaonya wabunge kuangalia hadhi zao kwani wananchi hawapendi kuangalia wabunge ambao ni comedians & jockers.

Sasa ndio linapokuja swali langu je! wananchi wa mtera wamemkosea nini mungu?

Naomba kutoa hoja, @ New York, unakaribishwa vilevile, tujue msimamo wako kwenye hili.
 
Hahahahaaaaaaaaaaa
daaaaaa.......unanichekesaha sana........
Ah,kweli bunge KIJIWE
 
Wakuu natoa ruhusa kwenye hilo neno ambalo nimelibold mtu au mods waliedit waweke neno wanaloona wao linafaa, mimi binafsi nimeshindwa niweke neno gani!
 
heri ya huyu mbunge kuliko wewe.....hasira zako za kijinga kweli.....nina mashaka nauwezo wako wa kufikiri......
 
First thing first. Elimu, exposure, mazingira na personal curiosity muhimu sana. Mimi simshangai huyo mbunge, nawashangaa wanaomshangaa huyo mbunge na kufikiri atakuwa any different, uchemfu hapo jadi tangu kwenye kampeni. One only has to listen to the so called speeches by the "distinguished member".

Hapo ndipo utajua maana ya "kuruka majivu na kukanyaga moto". @newyork must be saying "the joke is on you guys"

On another note, kuna wanaosema wabunge kuongea sana ni PR tu. Na kuna wabunge wanao argue kwamba behind the scenes lobbying inaweza kuwa effective zaidi ya kupiga kelele sana bungeni.

Either way, wananchi wana haki ya kujua nini kinaendelea na Hansard recorded proceedings are crucial not only for posterity's sake, but also for current research and statistics. So there is a case for dismissing those who place a priority on behind the scene lobbying over transparency.

Above all, muda wa bunge ni a limited resource. Kama mbunge anajisikia ku audition as a comedic caricature atafute venue nyingine.
 
mod funga hii theard na huyu mtu ale ban had jion kwa kutumia neno mahala ampapo si pale...hilp neno alilo bold.......
 
mod funga hii theard na huyu mtu ale ban had jion kwa kutumia neno mahala ampapo si pale...hilp neno alilo bold.......

Huu ndio upeo wako, nina uhakika huoni zaidi ya urefu wa pua yako, pole sana,........mimi nina ID mingi sana huwa sifikirii swala la ban.
 
......... pamoja na kufananisha exoust ya gari na ....... nakubaliana naye ktika baadhi ya matangazo yasiyofaa kama ..the spirit of the Nation...Konyagi.

Namwuunga mkono pia suala la fedha zetu kuwekwa picha za wanyama kama kutangaza utalii si nzuri. kuna nguvuya maneno katika matumizi yake. Mimi niemona hayo ni ya muhimu kwangu, mambo ya exost kufananishwa na ....nawaachia wanamtera wenyewe.....
 
mod funga hii theard na huyu mtu ale ban had jion kwa kutumia neno mahala ampapo si pale...hilp neno alilo bold.......
jamaa hajakosea coz amenukuu kutoka bungeni,so kma mbunge alitamka hivyo then tatizo lake nini.
 
duh!!! hii sasa kali, halafu ndo huyo anasisitiza apewe posho!! mmmh!! akisimama wa CDM nakutaja maslahi ya taifa ndo hao mavuvuzela wanaosimama na TAARIFA, MUONGOZO, na ujinga mwingine kibao.
 
Back
Top Bottom