Kutoka Bungeni Dodoma: Julai 18, 2011

Kutoka Bungeni Dodoma: Julai 18, 2011

hakuna mbunge hata mmoja wa chasdema aliyechangia

Magamba bado yanakusumbua, kumbe na wewe upo kwa maslahi ya chama zaidi. mwambie mwanamagamba Ndungai akupe list ya wachangiaji na uangalie mtu wa mwisho kuchangia siku ya ijumaa alitoka chama gani.
Next time ujipange vizuri kabla ya kupost upupu wako hapa
 
Nyie Washamba wa Dar, mtakaa giza hadi lini?

Mwenzenu huku SIKONGE raha kama nini maana nina taa yangu ya Chemli huwa naisafisha saafi kwa Unga na nikiifuta na kitambaa laini, inawaka poa kabisa na hakuna harufu.

Juzi nimeletewa Gererator na mama mmoja kutoka Albania ila inatumia GAS na mie Sikonge gas sina. Kwa wale washamba wa Dar (najua narudia tena neno Washamba wa Dar) basi mnaweza kuinunua kwa bei nzuri tu ili na nyie muwatese majirani kwa makelele.

Uchaguzi ukifika, msiende kupiga kura na hata mkipiga mzidi kuichagua CCM maana vyama vingine ni au Vya Kiislam au vya Kikatoliki kama siyo vya Wachaga. Maadamu hamtaki kutawaliwa na Waislaa au Wakatoliki/Wachaga basi muendelee kufaidi makelele ya Generator au giza la Dar.

Hii Generator nzuri sana maana haina kelele kubwa na wanao watalala swaaafi kabisa kama wangu wanavyofaidi kwenye mwanga wa taa ya chemli. Nataka kununua Karabai maana ile mwanga wake mkubwa zaidi.

Karibuni SIKONGE mkizidiwa giza la Dar. Hivi na Arusha pia? Mwanza pia? Moshi nako? Daahh, Mbeya na Dodoma pia? Kumbe washamba wanaolala gizani wako wengi? Wahini wahini mchangamkie Generator hiyo.

Piga simu Seven foo waa, dabo sero dabo sero, whan whaaa...

generator.JPG

Nawashukuru watu wote waliopoteza muda wao ili kuturushia Matangazo ya Bungeni. Mbarikiwe kwa kuweka TAIFA MBELE. Kitaeleweka.
 
Mkuu Edson
Mbona iyo link ulotoa inaitaji password? Baada ya kudownload vlc na kukocopy and paste link yako inataka password na user name! any suluhisho?
 
Ole Sendeka: yaani anamwaga mijisifa tu kwa magamba! Kuwe na Kanuni Maalum za Kuchimba Madini ya Tanzanite! Umeme, Uvumilivu una ukomo, kwa nini serikali yetu isitoe fungu la kutosha kununua mitambo yake badala ya ile ya kukodi kinyume na mapendekezo ya Tume ya Mwakyembe! Suala la TSh 50m/- toka kila Idara (=1bn/-) zifuatiliwe, Waziri Mkuu amwagize Waziri husika afuatilie! HAUNGI MKONO HOJA!
Anaamini Six atakuwa rais 2015 na yeye atakuwa waziri wa wanawake na watoto.
 
CCM yamwaga pikipiki Kawe
Monday, 18 July 2011
NA KHADIJA MUSSA

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimetoa pikipiki 15 kwa vijana wa jimbo la Kawe, Dar es Salaam, ambapo pia kimezoa wanachama wapya 200, baadhi wakiwa kutoka vyama vya upinzani.

Pikipiki hizo ni sehemu ya 26 zilizotolewa na Chama kwa ajili yavijana, ambapo 11 zimepelekwa mkoani Singida. Jumla ya gharama ya pikipiki hizo ni sh. milioni 46.8. Wanachama hao walijiunga na CCM jana, kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika kata ya Tegeta, ambao uliohutubiwa na Katibu wa NEC yaCCM, Uchumi na Fedha, Mwigulu Nchemba.

Kwa mujibu wa wanachama wapya, wamevutiwa na sera za CCM, hivyo kuamua kujiunga na Chama. Nchemba katika mkutano huo uliohudhuriwa na umati wa wananchi, wanachama na wapenzi wa CCM, alikabidhi pikipiki 15 kwa vijana wa jimbo hilo. Alisema pikipiki hizo zimetolewa kwa mkopo, ambapo vijana watatakiwa kuunda vikundi na kukabidhi sh. 30,000 kila wiki kwa kiongozi wa kikundi, yakiwa ni marejesho ili kuwezesha kununuliwa nyingine.

Katibu huyo wa NEC alisema fedhahizo zitatumika kununua pikipiki nyingine zitakazogawiwa kwa vijana wengine, ambapo kila mwezi mmoja atapatiwa. Aliwataka vijana hao kuwa waaminifu, kwani wakirejesha fedha hizo kwa wakati zitawezesha vijana 360 kupata pikipiki katika kipindi cha miaka mitano.

Nchemba alisema pikipikihizo zitawasaidia vijana kujipatia ajira, ikiwa ni utekelezaji wa Ilaniya uchaguzi ya CCM kwa vitendo. Aliwataka viongozi wa vyama vya upinzani kutumia nguvu na akili katika kubuni vitu ambavyo vitawakwamua wananchi kimaendeleo, na si kuchochea vurugu na maandamano, kwani hayana tija kwa taifa. Nchemba aliingia kwenye mkutano huo akiwa amepanda pikipiki, akiwa amefuatana na Katibu wa UVCCM Taifa, Martine Shigela.

hao wamegawiwa ajali tu! maana tukutuku si mchezo!inahitaji nidhamu ya hali ya juu katika uendeshaji la sivyo unakuwa kilema mara moja!
 
nyie washamba wa dar, mtakaa giza hadi lini?

Mwenzenu huku sikonge raha kama nini maana nina taa yangu ya chemli huwa naisafisha saafi kwa unga na nikiifuta na kitambaa laini, inawaka poa kabisa na hakuna harufu.

Juzi nimeletewa gererator na mama mmoja kutoka albania ila inatumia gas na mie sikonge gas sina. Kwa wale washamba wa dar (najua narudia tena neno washamba wa dar) basi mnaweza kuinunua kwa bei nzuri tu ili na nyie muwatese majirani kwa makelele.

Uchaguzi ukifika, msiende kupiga kura na hata mkipiga mzidi kuichagua ccm maana vyama vingine ni au vya kiislam au vya kikatoliki kama siyo vya wachaga. Maadamu hamtaki kutawaliwa na waislaa au wakatoliki/wachaga basi muendelee kufaidi makelele ya generator au giza la dar.

Hii generator nzuri sana maana haina kelele kubwa na wanao watalala swaaafi kabisa kama wangu wanavyofaidi kwenye mwanga wa taa ya chemli. Nataka kununua karabai maana ile mwanga wake mkubwa zaidi.

Karibuni sikonge mkizidiwa giza la dar. Hivi na arusha pia? Mwanza pia? Moshi nako? Daahh, mbeya na dodoma pia? Kumbe washamba wanaolala gizani wako wengi? Wahini wahini mchangamkie generator hiyo.

Piga simu seven foo waa, dabo sero dabo sero, whan whaaa...

generator.jpg

nawashukuru watu wote waliopoteza muda wao ili kuturushia matangazo ya bungeni. Mbarikiwe kwa kuweka taifa mbele. Kitaeleweka.

hii generator km itatumia gesi,na tank la mafuta la nini hapo juu?
 
Kwani hujasikia magari yanatumia Gas na Mafuta?

Ila bei ya mafuta kwa sasa utaweza? Itakuwa nimeweka pambo tu nyumbani. Changamkia kama unaweza kununua wese.
hii generator km itatumia gesi,na tank la mafuta la nini hapo juu?
 
Duh, hhii bangi kali Mpwa...haya ya wapi hii? kilombero au Tanga???
Nyie Washamba wa Dar, mtakaa giza hadi lini?

Mwenzenu huku SIKONGE raha kama nini maana nina taa yangu ya Chemli huwa naisafisha saafi kwa Unga na nikiifuta na kitambaa laini, inawaka poa kabisa na hakuna harufu.

Juzi nimeletewa Gererator na mama mmoja kutoka Albania ila inatumia GAS na mie Sikonge gas sina. Kwa wale washamba wa Dar (najua narudia tena neno Washamba wa Dar) basi mnaweza kuinunua kwa bei nzuri tu ili na nyie muwatese majirani kwa makelele.

Uchaguzi ukifika, msiende kupiga kura na hata mkipiga mzidi kuichagua CCM maana vyama vingine ni au Vya Kiislam au vya Kikatoliki kama siyo vya Wachaga. Maadamu hamtaki kutawaliwa na Waislaa au Wakatoliki/Wachaga basi muendelee kufaidi makelele ya Generator au giza la Dar.

Hii Generator nzuri sana maana haina kelele kubwa na wanao watalala swaaafi kabisa kama wangu wanavyofaidi kwenye mwanga wa taa ya chemli. Nataka kununua Karabai maana ile mwanga wake mkubwa zaidi.

Karibuni SIKONGE mkizidiwa giza la Dar. Hivi na Arusha pia? Mwanza pia? Moshi nako? Daahh, Mbeya na Dodoma pia? Kumbe washamba wanaolala gizani wako wengi? Wahini wahini mchangamkie Generator hiyo.

Piga simu Seven foo waa, dabo sero dabo sero, whan whaaa...

generator.JPG

Nawashukuru watu wote waliopoteza muda wao ili kuturushia Matangazo ya Bungeni. Mbarikiwe kwa kuweka TAIFA MBELE. Kitaeleweka.
 
Duh, hhii bangi kali Mpwa...haya ya wapi hii? kilombero au Tanga???

Umejuaje kuwa ni Bange? Tena unajua hadi inakotoka Kilombero au Tanga???

Hizi Gongo ukichanganya na Bangi kweli ni kasheshe. Si nimeandika kuwa nipo SIKONGE? Unaanza tu kujibu hata hujasoma?

Soma vizuri uelewe na si kudandia Shikansen kwa mbele. Utaishia kupata Mimba ya Radiation kibao.....
 
Back
Top Bottom