Kutoka Bungeni Dodoma: Julai 18, 2011 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kutoka Bungeni Dodoma: Julai 18, 2011

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Buchanan, Jul 18, 2011.

 1. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #1
  Jul 18, 2011
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Wakuu,
  Kikao ndio kinaanza, Spika Makinda ndio anasoma dua!
   
 2. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #2
  Jul 18, 2011
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Hoja zitakazowasilishwa zinasomwa, kisha maswali na majibu yanafuata!
   
 3. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #3
  Jul 18, 2011
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Swali la Regia Mtema linaulizwa kwa niaba yake na Halima Mdee, kuhusu kutoza ushuru huko Kilombero!
   
 4. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #4
  Jul 18, 2011
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Swali la Nyongeza la Mb Jituson: Watu kutozwa mara mbili, yaani mtu kutozwa ushuru wa mpunga halafu baadaye anatozwa ushuru wa mchele! Jibu: wananchi wanatakiwa wasitozwe mara 2, kama ametozwa kwenye mpunga basi asitozwe ushuru kwenye mchele!
   
 5. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #5
  Jul 18, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Jamani yaani wanachanganya mada tena badala ya kujadili umeme tu? Na nadhani budget ya umeme leo ndo inapitishwa. Je kumekuwepo na muda wa kutosha wa kujua kama budget itapita au la? Nadhani magamba wanakimbilia kwenye kura zaidi!Ngeraja akibaki basi nchi hii itabaki gizani mpaka 2015!
   
 6. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #6
  Jul 18, 2011
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Suala la kero za Muungano: kwa mujibu wa Hati za Muungano suala la ushirikiano wa kimataifa si la Muungano ila suala la mambo ya nje ndio la Muungano, Je, kuna mpango gani wa Zanzibar kuruhusiwa kuwa na ushirikiana wa kimataifa? Pia imedaiwa kuwa Zanzibar haipati 4.5% ya mgao wa misaada toka nje na zinaishia Tanzania Bara!

  Majibu: Ni vigumu kutofautisha mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa kwa hiyo Serikali zote 2 zimekubaliana kuwa hayo mambo yawekwe pa1. Pia si kweli kwamba Zanzibar haipati 4.5% ya misaada!
   
 7. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #7
  Jul 18, 2011
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Nafikiri baada ya Maswali na Majibu ndio mambo ya umeme yatafuata!
   
 8. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #8
  Jul 18, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  umeme vp tena,ndo wamepotezea kujadili!
   
 9. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #9
  Jul 18, 2011
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Haaaa haaa! Eti wanaume wanaopewa vipigo na wake zao wawasilishe malalamiko yao Polisi kwa kuwa kumeanzishwa madawati 2 kijinsia kushughulikia kero husika!
   
 10. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #10
  Jul 18, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 160
  Ngeleja jana tulikutana pharmacy akinunua VALIUM!!
   
 11. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #11
  Jul 18, 2011
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Nafikiri ni baada ya Kipindi cha Maswali na Majibu!
   
 12. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #12
  Jul 18, 2011
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Kule kisiwa cha Ukerewe inadaiwa kuwa kuna "Jiwe linalocheza!" Walioko huko au wenye knowledge na jiwe hilo watupe habari zaidi!
   
 13. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #13
  Jul 18, 2011
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Magufuli kichwa sana, kila Mbunge anampongeza kwa kujibu maswali vizuri!
   
 14. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #14
  Jul 18, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
 15. L

  LAT JF-Expert Member

  #15
  Jul 18, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  leo nimemuona akinunua diclopar kwa kujiha
   
 16. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #16
  Jul 18, 2011
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Maswali yameisha, Spika anasoma majina ya Wageni waliotembelea Bunge!
   
 17. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #17
  Jul 18, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 160
  Hili hapa....kwa taarifa zaidi google JIWE LA UKARA

  [​IMG]
   
 18. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #18
  Jul 18, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 19. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #19
  Jul 18, 2011
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  CCM yamwaga pikipiki Kawe
  Monday, 18 July 2011
  NA KHADIJA MUSSA

  CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimetoa pikipiki 15 kwa vijana wa jimbo la Kawe, Dar es Salaam, ambapo pia kimezoa wanachama wapya 200, baadhi wakiwa kutoka vyama vya upinzani.

  Pikipiki hizo ni sehemu ya 26 zilizotolewa na Chama kwa ajili yavijana, ambapo 11 zimepelekwa mkoani Singida. Jumla ya gharama ya pikipiki hizo ni sh. milioni 46.8. Wanachama hao walijiunga na CCM jana, kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika kata ya Tegeta, ambao uliohutubiwa na Katibu wa NEC yaCCM, Uchumi na Fedha, Mwigulu Nchemba.

  Kwa mujibu wa wanachama wapya, wamevutiwa na sera za CCM, hivyo kuamua kujiunga na Chama. Nchemba katika mkutano huo uliohudhuriwa na umati wa wananchi, wanachama na wapenzi wa CCM, alikabidhi pikipiki 15 kwa vijana wa jimbo hilo. Alisema pikipiki hizo zimetolewa kwa mkopo, ambapo vijana watatakiwa kuunda vikundi na kukabidhi sh. 30,000 kila wiki kwa kiongozi wa kikundi, yakiwa ni marejesho ili kuwezesha kununuliwa nyingine.

  Katibu huyo wa NEC alisema fedhahizo zitatumika kununua pikipiki nyingine zitakazogawiwa kwa vijana wengine, ambapo kila mwezi mmoja atapatiwa. Aliwataka vijana hao kuwa waaminifu, kwani wakirejesha fedha hizo kwa wakati zitawezesha vijana 360 kupata pikipiki katika kipindi cha miaka mitano.

  Nchemba alisema pikipikihizo zitawasaidia vijana kujipatia ajira, ikiwa ni utekelezaji wa Ilaniya uchaguzi ya CCM kwa vitendo. Aliwataka viongozi wa vyama vya upinzani kutumia nguvu na akili katika kubuni vitu ambavyo vitawakwamua wananchi kimaendeleo, na si kuchochea vurugu na maandamano, kwani hayana tija kwa taifa. Nchemba aliingia kwenye mkutano huo akiwa amepanda pikipiki, akiwa amefuatana na Katibu wa UVCCM Taifa, Martine Shigela.
   
 20. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #20
  Jul 18, 2011
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Timu ya Bunge, mpira wa miguu na pete zimeshinda kwenye mechi za Jumamosi!
   
Loading...