MKEHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 714
- 1,137
Zamani wakati wa Kikwete tukiangalia bunge live bila chenga sasa ni zamu ya uzinduzi live. Ni kama tumebadili muelekeo tu kidogo wa kutoka kuangalia muhimili wa Bunge live na kuanza kuangalia muhimili wa Serikali live.
Ile dhana ya kupunguza matumizi na muda wa kazi kisa kuangalia TV sijauona sana. Japo ni vizuri kuangalia uzinduzi wa miradi live ni vizuri wakaliacha na bunge pia kuwa live.
Toka Jumatano mpaka Jumapili tunafurahia uzinduzi na miradi ya barabara,madaraja,wahitimu wa polisi na upokeaji ndege zetu.
No vema sasa tukajiandaa kosaikojia kwa live za kiserikali.
Pascal Mayala waambie wanahabari wenzio kuwa zama zimebadilika.