Kutoka Bunge live mpaka Uzinduzi live

MKEHA

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
714
1,137
Zamani wakati wa Kikwete tukiangalia bunge live bila chenga sasa ni zamu ya uzinduzi live. Ni kama tumebadili muelekeo tu kidogo wa kutoka kuangalia muhimili wa Bunge live na kuanza kuangalia muhimili wa Serikali live.

Ile dhana ya kupunguza matumizi na muda wa kazi kisa kuangalia TV sijauona sana. Japo ni vizuri kuangalia uzinduzi wa miradi live ni vizuri wakaliacha na bunge pia kuwa live.
Toka Jumatano mpaka Jumapili tunafurahia uzinduzi na miradi ya barabara,madaraja,wahitimu wa polisi na upokeaji ndege zetu.

No vema sasa tukajiandaa kosaikojia kwa live za kiserikali.
Pascal Mayala waambie wanahabari wenzio kuwa zama zimebadilika.
 
Sisi mabeberu tutamtoa nishai Jiwe si kwa uzinduzi huu
 
Mzee Kingunge upumzike kwa amani. Ulikuwa mwana falsafa, sasa tunauona mziki wa nyapara wa barabara.
 
Watu wanapenda kuuza sura mbovu kwenye TV wakidhani wataungwa mkono kwa matusi yao.
 
Back
Top Bottom