Kutoka bagia za dengu hadi maralia ya dengu

clap

Senior Member
Joined
Aug 3, 2013
Posts
188
Reaction score
97
hapo zaman ni nadra sana hata kuwaza kama dengu inaweza kuwa ugonjwa ila kutokana na mifumuko ya magonjwa mengi siku hiz hatimae dengu yawa ugonjwa tuwen makin huu ugonjwa ni hatar kuliko maralia ya kawaida maana ata kama ukiwa na net ugonjwa huu utaupata tu
 
Halo clap, pamoja na kwamba jukwaa hili ni la mzaha na utani, usitanie lugha yetu ya Kiswahili kwa kuiandika vibaya.Sahihisha maneno yafuatayo:
ata = hata
maralia = malaria

SHIEKA, kny #TeamRekebishaLugha .
cc charminglady Kibo10 nevergiveup
 
Last edited by a moderator:
hapo zaman ni nadra sana hata kuwaza kama dengu inaweza kuwa ugonjwa ila kutokana na mifumuko ya magonjwa mengi siku hiz hatimae dengu yawa ugonjwa tuwen makin huu ugonjwa ni hatar kuliko maralia ya kawaida maana ata kama ukiwa na net ugonjwa huu utaupata tu
Joke yako juu ya ugonjwa wa dengue imenifurahisha na kuniweka pembeni kwa sababu na mimi nilitaka kuleta joke ya ugonjwa huu kwamba unaletwa na unywaji wa pombe ya dengelua(denge).Umeniwahi kweli!
 
Ulitaka kuleta jokes!!
Sasa mbona umeshaileta na tumeisoma??!!
 
Back
Top Bottom