Kutoka Babu wa Loliondo, Dokta Shika, Nabii Tito na sasa Pierre mzee wa Liquid!

Mchochezi

JF-Expert Member
Feb 29, 2012
10,416
6,577
Hawa watu huwa wanaibuka tu kirahisi na kupata kiki ama kuna kitu kipo nyuma ya pazia kinawapa kiki? Nahisi ni watu wanaoandaliwa na system ili kutupoteza na mambo ya msingi yanayohusu Taifa.

Wakuu nyie kwa mitizamo yenu mnalionaje hili suala la mtu kuibuka na kuwa maarufu kwa mambo ambayo hayana msingi wowote kwa Taifa?
 
Na sasa ni mzee wa ndoige
 
Huwezi kufanya kazi tu bila kunywa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom