Kutoka Arusha: CCM waanza kuchochea udini wahanga wa BOMU mkutano wa CHADEMA

Wewe Mohamedi Mtoi badala ya kutumia nguvu nyingi kupiga propaganda hapa, ungekishuri chama chako walau ukipe Islam perspective ya kutumia maiti kama maonesho, hii ingekisaidia chama sana zaidi ya likes za JF.
 
Last edited by a moderator:
Hii tabia ya CCM kuwadharau waislam itaisha lini?? Mwenyekiti wa CCM kuwa muislam haina maana kuwa waislam wote hawana haki ya kushirikiana na vyama vingine vya siasa.

Ningeona CCM kama ni wa maana sana kama wangeshirikiana na CHADEMA kwenye huo msiba kupunguza tension.
 
Inasikitisha sana lakini familia hiyo ikumbuke inatakaribisha usanii nyumbani kwao ni bora wao waendelee na jambo lao kama walivyoanza.
 
PLEASE N PLEASE,

POLITICIANS LEAVE MY ISLAM AWAY FROM YOUR BULLSHIT PROPAGANDA,

WHY KILA KITU MPENDE KUUHUSISHA NA JINA LA UISLAM HATA PALE LINAPOTAKIWA KUWA MBALI NA UPUUZI WENU??

hii haivumiliki hata kidogo,hatutaki kuskia mnatutaja taja kwenye mauza uza yenu ili kuwaondoa watu kwenye uhalisia wa maovu yenu..

Back off...!!

Cockroaches...

Kama mmeshindwa kuwatumika watanzania msitafute sehemu ya kuegemea,upuuz huo.
 
Sasa karata za CCM kisiasa zimekosa mchangaji makini!

WAMEBAKI NA HII.....:heh::heh::heh::heh::heh:

tumblr_lg072mhQwb1qbbyvuo1_400.jpg
 
ukweli una tabia moja tuu, ingawa huchelewa lakini ni lazima ujulikane
 
Hivi unajua kwamba waliomuua Horace Kolimba na kuthibitishwa, waliachiwa huru, nasikia mambo yao mazuri sana kwasasa!!!

inaonekana mvaa tai story za kina kolimba ulihadithiwa,yaani hukua umezaliwa mda huo.
Kolimba alikufa kwa heartattack.
 
naona ritz na chama ndo wanaonekana wakijibu pumba humu, ila mungu ni mwema endeleeni na propaganda zenu itawagharimu siku.
 
Bomu Arusha ni janga la Taifa na sio cdm. So, Serikali ina wajibu wa kuwasaidia wahanga but cdm mnahisi wanawabania umaarufu kupitia misiba. Acheni kutangaza siasa misibani. Acha serikali iwajibike.
 
Wewe Mohamedi Mtoi badala ya kutumia nguvu nyingi kupiga propaganda hapa, ungekishuri chama chako walau ukipe Islam perspective ya kutumia maiti kama maonesho, hii ingekisaidia chama sana zaidi ya likes za JF.

uko sawa taratibu za kiislamu jinsi ya kumtreat marehemu ziko tofauti...mtu akifa anatakiwa kuzikwa hakuna utaratibu wa kupeleka sijua viwanja vya unga limited kumuonyesha.
 
Last edited by a moderator:
CCM tayari wameanza kuchochea udini kwenye tukio la bomu Arusha. Wamemfuata mzazi (dereva wa bodaboda) wa mtoto Juma Ramadhan aliyefariki kwenye tukio hilo na kumwambia asikubali kushirikiana na CHADEMA katika msiba huo hasa katika kusafirisha maiti kwenda Tabora ambako atazikwa.

Itakumbukwa kuwa jana uongozi wa CHADEMA, ukiongozwa na Mwenyekiti wa Taifa, Mbowe ulikwenda kuitembelea familia hiyo ambapo waliomba kujua familia inahitaji msaada gani ambao chama hicho kingeweza kusaidiana na familia hiyo. Msemaji wa familia akasema wangependa CHADEMA wasaidie katika gharama za kusafirisha maiti.

Chama hicho kilikubali na kikawaambia kitashirikiana nao kwa kila hali na mali kwa sababu kwa namna moja ama nyingine wote ni wafiwa na wahanga wa tukio hilo. Jana vikao vya siasa vya CCM vimekaa vimesema tukio hili linaelekea kuwa na mwelekeo wa kuzidi kukiumiza chama hicho kw sababu ya tuhuma zilizopo, hivyo usukwe mkakati wa kukidhibiti.

» Mkakati wa ku-divert attention kwa kuingiza udini.

• CCM wamefanikiwa kuirubuni na kuilazimisha familia kwa kuwaambia watapatiwa Land Cruiser, lakini wakatae msaada wa CHADEMA, wala wasishirikiane nacho! Tayari wameiambia familia na wanaandaa propaganda kuwa mtoto wa kiislam ameuwawa kwenye mkutano wa CHADEMA.

• Muda wowote kuanzia sasa propaganda zitaanza ili kuwanusuru watuhumiwa, baadhi ya viongozi wa CCM na polisi walioko katikati ya mjadala wa tuhuma nzito kupanga mauaji ya Mbowe, Lema, viongozi wa CHADEMA na wananchi.

Update from Tumaini Makene

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums.

Sidhani kama CCM itaepuka kashfa hii kwa 100% Maana kama ni udini CCM ndiyo wenyewe, kwasababu kama wanapenda haki kwanini huyu Dada aliyeuawa kwenye huo mlipuko hawamjadili?
My take: Walipoona kwamba kuna jina la mtoto wa Kiislam wakashikilia Chadema hawako hivyo hawajali jina la Kikristo au la Kiislamu. Naiasa Familia wasidanganyike na hao CCM wauaji wakubwa..
 
Last edited by a moderator:
Nilishawahi kuandika thread hapa kwamba "udini ukififia nchini atakayepoteza ni CCM". Mods waliifuta fasta lakini ukweli utabaki kuwa ukweli na hilo ndo linalojithibitisha.
 
Rest in peace Juma,you had a life in front of you,but wabinafsi wamekatisha maisha yako,watalipa tu,ni muda tu,damu yako haitapotea bure.
 
Moderator usinipige ban nakuomba
Haya matatizo yote yameletwa na kikwete ana akili fupi sana na anatumia kivuli cha udini ili waislam waone kuwa si mdhaifu ila wakristu wanamchukia tu kwa sababu ya uislam wake,
I hate Kikwete and all his colleagues
 
we mtoi mi sijui huwa unawaza nini umeanza kutuletea masuala ya udini tena sijui unafaidika na nini ukileta mada za udini.
 
uko sawa taratibu za kiislamu jinsi ya kumtreat marehemu ziko tofauti...mtu akifa anatakiwa kuzikwa hakuna utaratibu wa kupeleka sijua viwanja vya unga limited kumuonyesha.

Sasa utashangaa watu kama Mohamedi Mtoi ambao ni waislamu, badala ya kuwasaidia viongozi wao ambao ni wakristo wao wapo bize ku chit chatika hapa na kugongeana thanx kwa ushabiki mbuzi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom