Kutoa Posa kwa M-PESA

Kutoa Posa kwa M-PESA

high vampire

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2012
Posts
2,950
Reaction score
2,191
Siku hizi huwezi shangaa kukuta kijana anaenda kutoa posa yeye mwenyewe nimeona wengi kuna mmoja kaambiwa atume mpesa kama kabanana sana maana ukweni mikoa ya Kusini.
 
Utaambiwa uhamishe kwenye account ya New Jersey
 
Poza!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Hiki kijiwe bila stori za namna hii huwa hakinogi...
 
Hivi posa na mahali ni kitu kimoja?

Mi nilidhani posa ni ile application na mahali ni pesa au mali yeyote anayotoa muoaji kwa wazazi wa binti.
 
Mada zingine unacheka kwa lazima.!!!
 
Mmh..hao wazazi nao hawana mila au?!!! Ama kweli utandawazi umeingiliwa
 
asa ni tangazo hili au mdahalo??? maana sijajua tunajadili nin labda
 
Mmh..hao wazazi nao hawana mila au?!!! Ama kweli utandawazi umeingiliwa

mila zinakufa saizi ndio maana unaona kijana anamaliza yote haya mzazi mtu wa kuambiwa tu tofauti na zamani
 
Mada zingine unacheka kwa lazima.!!!

unacheka nini mkuu wakati ndio hali halisi muoaji anauliza mahali kiasi gani anaambiwa laki nane na nusu kesho yake anamchukua jamaa yake wanaenda ukweni wanalipa wanamaliza na kurudi kazi imeisha hujaona
 
mila zinakufa saizi ndio maana unaona kijana anamaliza yote haya mzazi mtu wa kuambiwa tu tofauti na zamani

Kazi kweli kweli... Ndo maana ndoa kama hizo zinakuwa hazidumu maana hata ile baraka ya wazazi hakuna.
 
Back
Top Bottom