aghalabu misimu ya sikukuu kama hiz makundi mbalimbali ya watu hujitokeza kusaidia hususan vituo vya watoto yatima, ni jambo jema lakn inaonekana ni kama sehemu ya kujitangaza hivi na mtu haridhiki kutoa hadi aite media au ku-post kwenye social media picha za tukio etc
maoni yangu
- Kutoa ni moyo usambe ni utajiri
- maandiko yanasema utoapo mkono wa kulia hata wa kushoto usijue
- ......................wewe unasemaje katika hili?

wanatafuta sifa waonekane wanatoa kwani ukitoa kimya misaada haifiki mpaka useme ooo vituo vipo vingi sijajua ntapeleka wapi misaada ina maana huna ratiba ya kutembelea hivyo vituo acha sifa panda jukwaani utukatie viuno
Eeh bwana kama unamuongelea platnumz bac jamaa alitoa reason nzuri ambayo ilinifurahisha. Unajua yeye ni star and whatever star anafanya watu wanaiga, akinyoa kiduku watu wanaiga so badala ya kufundishana ujinga bora awaonyeshe wa2 anavyotoa misaada ili nao wawe inspired kutoa pia na c o kuigana viduku.
Hiyo sio misaada, ni UWEKEZAJI huo. Kuna mgombea udiwani mmoja alitoa msaada wa mifuko ya saruji, alivyoshindwa kwenye uchaguzi akaenda na mabaunsa kudai saruji yake, akakuta jamaa wamechanganya zege wanajenga kanisa alinyang'anya zege. Wanaojitangaza wana malengo hao.
- Upo sahihi kabisa
- Mfano hai ni mtanzania mwenzetu mmoja ambaye yupo marekani, changamoto inayo mkabili ni kutaka kutoa zawadi kwa wasiojiweza pindi atembeleapo tanzania pasipo media na waandishi wa habari kujua.
- Huwa anapenda iwe siri yake