Kutoa Msaada Hadi Ujitangaze/uite Media?

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,141
13,215
aghalabu misimu ya sikukuu kama hiz makundi mbalimbali ya watu hujitokeza kusaidia hususan vituo vya watoto yatima, ni jambo jema lakn inaonekana ni kama sehemu ya kujitangaza hivi na mtu haridhiki kutoa hadi aite media au ku-post kwenye social media picha za tukio etc

maoni yangu

  1. Kutoa ni moyo usambe ni utajiri
  2. maandiko yanasema utoapo mkono wa kulia hata wa kushoto usijue
  3. ......................wewe unasemaje katika hili?
 
Hujui master wa bongo bila kufanya hivyo atapatje kiki wanficha madhambi yao kwa kivuli cha yatima mungu atawasamehe
 
wanatafuta sifa waonekane wanatoa kwani ukitoa kimya misaada haifiki mpaka useme ooo vituo vipo vingi sijajua ntapeleka wapi misaada ina maana huna ratiba ya kutembelea hivyo vituo acha sifa panda jukwaani utukatie viuno
 
Eeh bwana kama unamuongelea platnumz bac jamaa alitoa reason nzuri ambayo ilinifurahisha. Unajua yeye ni star and whatever star anafanya watu wanaiga, akinyoa kiduku watu wanaiga so badala ya kufundishana ujinga bora awaonyeshe wa2 anavyotoa misaada ili nao wawe inspired kutoa pia na c o kuigana viduku.
 
aghalabu misimu ya sikukuu kama hiz makundi mbalimbali ya watu hujitokeza kusaidia hususan vituo vya watoto yatima, ni jambo jema lakn inaonekana ni kama sehemu ya kujitangaza hivi na mtu haridhiki kutoa hadi aite media au ku-post kwenye social media picha za tukio etc

maoni yangu

  1. Kutoa ni moyo usambe ni utajiri
  2. maandiko yanasema utoapo mkono wa kulia hata wa kushoto usijue
  3. ......................wewe unasemaje katika hili?

Hiyo sio misaada, ni UWEKEZAJI huo. Kuna mgombea udiwani mmoja alitoa msaada wa mifuko ya saruji, alivyoshindwa kwenye uchaguzi akaenda na mabaunsa kudai saruji yake, akakuta jamaa wamechanganya zege wanajenga kanisa alinyang'anya zege. Wanaojitangaza wana malengo hao.
 
  • Upo sahihi kabisa
  • Mfano hai ni mtanzania mwenzetu mmoja ambaye yupo marekani, changamoto inayo mkabili ni kutaka kutoa zawadi kwa wasiojiweza pindi atembeleapo tanzania pasipo media na waandishi wa habari kujua.
  • Huwa anapenda iwe siri yake
 
ni unafiki na kutaka sifa,mbona hutoa siku za sikukuu tu.hasa wana siasa ndo zao.
 
Waacheni bwana. Afadhali wao wametoa na kufotolewa ila watoto wa watu wamekunywa juisi. Kuliko sie tunaopiga jaramba tu hapa.

Hata barrick wakipaka rangi shule na chadema wakichimba kisima wanadocument. Wasingeita wandishi akina sie tusingejua hata misaada hutolewa
 
ni kweli kabisa kwa mtuzamo wangu
wanatafuta sifa waonekane wanatoa kwani ukitoa kimya misaada haifiki mpaka useme ooo vituo vipo vingi sijajua ntapeleka wapi misaada ina maana huna ratiba ya kutembelea hivyo vituo acha sifa panda jukwaani utukatie viuno
 
wakati mwingine unakua driven na motive sio?
Eeh bwana kama unamuongelea platnumz bac jamaa alitoa reason nzuri ambayo ilinifurahisha. Unajua yeye ni star and whatever star anafanya watu wanaiga, akinyoa kiduku watu wanaiga so badala ya kufundishana ujinga bora awaonyeshe wa2 anavyotoa misaada ili nao wawe inspired kutoa pia na c o kuigana viduku.
 
duh, hii kali sana
Hiyo sio misaada, ni UWEKEZAJI huo. Kuna mgombea udiwani mmoja alitoa msaada wa mifuko ya saruji, alivyoshindwa kwenye uchaguzi akaenda na mabaunsa kudai saruji yake, akakuta jamaa wamechanganya zege wanajenga kanisa alinyang'anya zege. Wanaojitangaza wana malengo hao.
 
huo ndio utoaji
  • Upo sahihi kabisa
  • Mfano hai ni mtanzania mwenzetu mmoja ambaye yupo marekani, changamoto inayo mkabili ni kutaka kutoa zawadi kwa wasiojiweza pindi atembeleapo tanzania pasipo media na waandishi wa habari kujua.
  • Huwa anapenda iwe siri yake
 
aghalabu misimu ya sikukuu kama hiz makundi mbalimbali ya watu hujitokeza kusaidia hususan vituo vya watoto yatima, ni jambo jema lakn inaonekana ni kama sehemu ya kujitangaza hivi na mtu haridhiki kutoa hadi aite media au ku-post kwenye social media picha za tukio etc

maoni yangu

  1. Kutoa ni moyo usambe ni utajiri
  2. maandiko yanasema utoapo mkono wa kulia hata wa kushoto usijue
  3. ......................wewe unasemaje katika hili?

'unajuwa kila mtu na mtazamao wake na mawazo yake ya kufkiri juu ya suala fulani...............kwa kawaida binadam huwa tunajisahau sana sasa inapotokea mtu akafanya kitu fulani anaweza akakushtua ukajikuta na wewe ukitenda jambo hilo,kutoa huku watu wanaona si mbaya inategemea ni umetoa kwa moyo na nia gani,mtu mwingine akiona fulani katoa na yeye huingiwa na moyo wa IMANI hivyo nae hujikuta akitoa kinachotakiwa ni NIA gani ambayo ipo ndani ya moyo wako haijalishi watu wanakuonaje na wanakuchukuliaje ila NIA yako ndio kila kitu kwa maana MUNGU huangalia moyo siku zote na hata miskitini na makanisani mbona watu wanatoa huku wanaonekana kama si hivyo basi wangeweka utaratibu wa kuwaficha wale wanaotaka kutoa hivyo ni suala la NIA NA MOYO wa mtu huwezi kuusemea MOYO wa mwenzio'
 
Unapotoa msaada kwania ya kujitagaza sawa sawa km umetupa kwa maana dhamira yako ilikuwa ni kushowoff but not give for humanity,kamwe bwana Mungu awezi bariki!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom