kutoa mimba.......

Status
Not open for further replies.

Hellen Chris

Verified Member
Nov 18, 2012
22
0
hey memberz hv wat happen if woman aktoa mimba tena yenye miez mi5 then after 2 months akapata nyngne then akataka kuitoa at age of 4 months, wat will happen 2 her........???
 
AshaDii

Platinum Member
Apr 16, 2011
16,229
1,500
Hellen mbona hiyo ni hatari?! Utoe mimba then hapo hapo upate nyingine na bado mhusika ajifikire kutoa?! Kwa nini kama anapenda sex kiasi hicho asitumie kinga kama vidonge na the like?

Hata kiafya sidhani kama ni advisable unaweza hata pata infections. Duh..
 
Hellen Chris

Verified Member
Nov 18, 2012
22
0
Hellen mbona hiyo ni hatari?! Utoe mimba then hapo hapo upate nyingine na bado mhusika ajifikire kutoa?! Kwa nini kama anapenda sex kiasi hicho asitumie kinga kama vidonge na the like?

Hata kiafya sidhani kama ni advisable unaweza hata pata infections. Duh..
gud swry ashanti u knw wat this dunia ishauzwa......i hate such kind of behaviour
 
AshaDii

Platinum Member
Apr 16, 2011
16,229
1,500
gud swry ashanti u knw wat this dunia ishauzwa......i hate such kind of behaviour

Hellen dear samahani kama nitakukwaza dear.. Kwanza please do not write kwa kifupi mno the words for there are all sorts of age users na some do not understand.

Lingine ni kuwa be comfortable... People may judge but you have enough courage kulileta hapa; have enough courage to stand by it and do not let anyone make you meander from your stand huku ukijaribu tafakari mawzo toka kwa wengine.

This is very risky! You may die... na vilevile inatoa picha of carelessness in the matter; which makes it more dangerous. Maswali;  1. Why atoe?
  2. Kuna kitu kinamzuia?
  3. Hana uwezo wa kujikimu (na wat of the mtoa mimba)?
 
Wimbo

JF-Expert Member
Oct 23, 2012
569
500
Helen; nothing will hapen on her, mimba nyingine inaweza kuingia after 40 days if no any protection, hawezi kudhulika kwa sababu yeye alishakufa tayari na kwa kitendo hicho cha ufu analindwa na nguvu za kuzimu, ataendelea kutoa mimba nyingi mpaka ufahamu utakapomrudia akiwahi akatubu atakuwa salama akishupaza shingo atakufa kimwili na kiroho pia kama ni swahiba wako au ni wewe mwenyewe acha mbaya hiyooo.
 
Jeji

JF-Expert Member
Jun 28, 2011
1,976
1,195
kutoa mimba ni dhambi, kwa nini atoe? kama hayuko tayari kuzaa atumie njia za kuzuia isiingie.
 
mzabzab

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
9,267
2,000
mhm kweli wewe uminidhihirishia kuwa wanawake wanao mruhusu mwanaume awangie ndani enjoy sex more than those who dnt...ndio maana ukapaga na utamu mpaka ukajikuta mimba nyingine imenasa.
 
Visenti

JF-Expert Member
Jul 24, 2008
1,022
1,170
Kama hiyo mimba haitishii maisha ya mama, afikirie upya!, aangalie hapo chini ya mtoto wa miezi minne anavyokuwa.
mtoto miezi minne.jpg
[h=3]at 16 weeks The baby's eyes can blink and the heart and blood vessels are fully formed. The baby's fingers and toes should have fingerprints.[/h]
 
by default

JF-Expert Member
Jul 11, 2011
840
195
Hellen dear samahani kama nitakukwaza dear.. Kwanza please do not write kwa kifupi mno the words for there are all sorts of age users na some do not understand.

Lingine ni kuwa be comfortable... People may judge but you have enough courage kulileta hapa; have enough courage to stand by it and do not let anyone make you meander from your stand huku ukijaribu tafakari mawzo toka kwa wengine.

This is very risky! You may die... na vilevile inatoa picha of carelessness in the matter; which makes it more dangerous. Maswali;  1. Why atoe?
  2. Kuna kitu kinamzuia?
  3. Hana uwezo wa kujikimu (na wat of the mtoa mimba)?
ukubwa dawa naona umeamua kulenga penye tatizo
mimi nimekuelewa dada AshaDii kama huyu Hellen ajakuelewa imekula kwake
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Top Bottom