Kutoa Maziwa bila kuwa na mimba

Mau

Senior Member
Apr 8, 2009
176
10
Jamani wana JF habari za hapa ndani, mimi nina demu wangu amepata tatizo tunashindwa kulielewa, Alichoma sindano za powersafe. soon after changes zikaanza, menstrual ikabadilika na maziwa yakaanza kutoka. hajatumia dawa yoyote.
Wana JF naombeni msaada wenu kwa sababu hali hii ni ngeni.
 
samahani baada yakupewa hiyo dawa mlifanya mapenzi? maana hizo dawa hairuhusiwi mpaka dose ishe tupe ukweli kama mlifanya mapenzi ili tutoe ushauri uliokamilika
 
Hapana mkuu, Dr alimshauri asifanye mpaka dose iishe lakini tatizo ndo limejitokeza hivyo, ye doctor alisema ni "Hormonal Imbalancement" na akasema itajirekebisha after sometime without using medication. Sasa bado tatizo linaendelea hebu tupe ushauri mkuu
 
nakubariana na ushauri kingasta murudi kwa Dr harafu utupe feedback
 
Pamoja Sana mkuu, ila ningependa pia kufahamu maziwa yameanza kutoka muda kani, anakamua chuchu which is very wrong Kama anafanya hivyo na je siku
Meaning menstruation imebadilika Kivipi? Hapati au? Because if she don't get her menses and she is producing milk we have to think of Prolactinoma. Ukinijibu haya nitaweza kutoa ushauri mwingine zaidi mkuu
 
mkuu dr alimshauri asiyakamue, mwanzoni alikuwa anapata menstral mara mbili kwa mwezi ila sasahivi amerudi kwenye mzunguko kawaida. Yalianza kutoka mwezi wa kumi na moja.
Asanteni kwa ushauri mnaoendelea kutupa
 
Hormone imbalance husababisha kutoa maziwa. Hebu kamilisha mipango bwana mzae kabisa, unachelewa nini! Lol
Well, kunaweza kuwa na sababu nyingi. Aende hospitali na kama ukipata jibu lisiloeleweka urudi na hayo ya uchunguzi utapata ushauri hapa.
 
Tafuta wa kukunyonya hizo chuchu tatizo lote kushi nehi.

Mkuu mleta anahitaji kupewa ushauri Wa kitaalam, nadhani this joke can go somewhere na Kama huna mchango Wa kitaalam au Wa kumtia moyo wakati mwingine ni vyema kukaa kimya
 
Jamani ndugu zanguni haya mambo ya kuleta mautani wakati mwenzetu anajaribu kuelezea matatizo yake sio vizuri! kma huna point za kuchangia we kaa kimya zitakuja post ambazo wewe utaweza kuchangia! hapa sio sehemu ya kuleta ubishoo!! huna point kaa kimya biiiiitch!!
 
Pamoja Sana mkuu, ila ningependa pia kufahamu maziwa yameanza kutoka muda kani, anakamua chuchu which is very wrong Kama anafanya hivyo na je siku
Meaning menstruation imebadilika Kivipi? Hapati au? Because if she don't get her menses and she is producing milk we have to think of Prolactinoma. Ukinijibu haya nitaweza kutoa ushauri mwingine zaidi mkuu

Ungeandika tu kiswahili mkuu!
 
Jamani wana JF habari za hapa ndani, mimi nina demu wangu amepata tatizo tunashindwa kulielewa, Alichoma sindano za powersafe. soon after changes zikaanza, menstrual ikabadilika na maziwa yakaanza kutoka. hajatumia dawa yoyote.
Wana JF naombeni msaada wenu kwa sababu hali hii ni ngeni.

hahaaaa kaka powersave shemeji alipatwa namagonjwa yetu yale eeeeh ...acha kugonga kavu milupo utauwa mama yoyoo...apana chesea pawa sefuuu
 
Back
Top Bottom