Kutoa hela kwa boyfriend

Kutoa hela kwa boyfriend

tinto

Member
Joined
Nov 16, 2015
Posts
99
Reaction score
50
Nina rafiki yangu ana kazi nzuri tu ila wameachana na boyfriend wake kisa kikubwa alimuomba hela kama mara mbili hivi na hajawahi kumpa sasa hii mara ya mwisho huyo kaka aliomba akopeshwe mil 1.5 alipe mwisho wa mwezi alipoambiwa kuwa haipo ndo akachange hadi kumuacha huyo rafiki yangu kuwa siyo supportive, je wanaume ni sawa kuwa unaomba mkopo kwa girlfriend kila mara? Na wadada ni sawa kweli kumpa boyfriend hela au kushare biashara nae?
 
Mimi mwenyewe kwa upande wangu sikubaliani na swala la kuanza kukopeshana na kushare biashara na mwanaume ambae siyo mume wako kila mtu afanye vtu vyake mwenyewe wanaume wengi cku hizi wanapenda sana mtelezo kuliko hata wadada
 
Nina rafiki yangu ana kazi nzur tu ila wameachana na boyfriend wake kisa kikubwa alimuomba ela kama mara mbili ivi na hajawahi kumpa sasa hii mara ya mwisho uyo kaka aliomba akopeshwe mil 1.5 alipe mwisho wa mwezi alipoambiwa kuwa haipo ndo akachange hadi kumuacha uyo rafiki yangu kuwa siyo supportive.je wanaume ni sawa kuwa unaomba mkopo kwa girlfriend kila mara?na wadada ni sawa kweli kumpa boyfriend ela au kushare biashara nae?

Kuomba hela 'kama mara mbili ivi' ndo kuomba hela 'kila mara'?
 
Nina rafiki yangu ana kazi nzur tu ila wameachana na boyfriend wake kisa kikubwa alimuomba ela kama mara mbili ivi na hajawahi kumpa sasa hii mara ya mwisho uyo kaka aliomba akopeshwe mil 1.5 alipe mwisho wa mwezi alipoambiwa kuwa haipo ndo akachange hadi kumuacha uyo rafiki yangu kuwa siyo supportive.je wanaume ni sawa kuwa unaomba mkopo kwa girlfriend kila mara?na wadada ni sawa kweli kumpa boyfriend ela au kushare biashara nae?
Hela.....
Ela ndio nini?!
 
Tatizo mmeshazoea kupewa na wanaume, mkiobwa ninyi mnashangaa mpk kuja kuuliza huku. Mapenzi ya kweli hayana mipaka
Umeona Kaka ndo hawa unajitahidi kumhudumia kadri uwezavyo but yeye kukupa even a T shirt hawez ila siku ya Birthday yake atakwambia anataka Budget ya Keki na Nguo Mpya wabadilike
 
Nina rafiki yangu ana kazi nzur tu ila wameachana na boyfriend wake kisa kikubwa alimuomba ela kama mara mbili ivi na hajawahi kumpa sasa hii mara ya mwisho uyo kaka aliomba akopeshwe mil 1.5 alipe mwisho wa mwezi alipoambiwa kuwa haipo ndo akachange hadi kumuacha uyo rafiki yangu kuwa siyo supportive.je wanaume ni sawa kuwa unaomba mkopo kwa girlfriend kila mara?na wadada ni sawa kweli kumpa boyfriend ela au kushare biashara nae?
Si mnatuleteaga za haki sawa?amekula ya mbuzi acha aote....?
 
mapenzi ni pamoja na kuheshimiana, kuthaminiana na kusaidiana.
sasa isiwe wewe pekee ndie unaheshimu tu, unathamini tu na unasaidia tu.
kuna siku utakosa na utahitaji wa kukusaidia, kama mwenza wako kisaikolojia ulimzoesha kumsaidia yeye tu, hilo ni tatizo.
kwa mtu ambaye anatafuta mwenza wa kudumu, suala la mtu ni msaada kiasi gani ni vyema likawekwa kwenye mtihani wa majaribio, akifeli unampa supplementary, akifeli sup inayofuata ni disco. ila kama unampenda sana basi acha akeri, nenda naye polepole huku ukimuelimisha umuhimu wa kusaidiana
 
Hahahha nimeipenda hii....eti akifel tena disco
 
Back
Top Bottom